Kabisa hajui gari inakuwa na chart ya service na inaonekana hajawai miliki gari, mfano hata yeye angekuwa na gari je angekuwa akitoka mfano dar akifika Arusha anafikia garage? Hakuna tajiri anayependa kupata hasara hivyo anajali gari lake kuliko hata wewe abiria kama ulikuwa hujui, pia kifupi makampuni mengi safari za usiku wamewapa wale madereva wanaowaamini na gari mpya wanazoziamini ndio zimepewa safari hizo na gari tia maji tia maji ndio zipo mchana, kingine gari zinazotoka usiku hazikimbii maana hakuna abiria anayependa kufika usiku mfano unamfikisha mbeya mtu saa tisa usiku inamaana Gani? Tokea safari za usiku zianze hakuna ajari ya kutisha iliowahi kutokea