Nashauri serikali ipige marufuku homework kwa watoto wa shule

Nashauri serikali ipige marufuku homework kwa watoto wa shule

Wewe unayeongea haya ni mwalimu ama umesomea ualimu. Kama ni ndio rudi chuo ila kama sio nakushauri fanya mambo menginebo ya taaluma yana wataalam.wake.ova
Roberto Nevilis, a teacher in Venice, Italy. As the story goes, Nevilis invented homework in 1905 (or 1095) to punish students who didn't demonstrate a good understanding of the lessons taught during class.

Sihitaji kuwa mwalimu. Homework ni idea ya jamaa mmoja tu huko italia. Wakina galileo mageneous hawakuwa na hiyo kitu.
Home work lengo kuu ilikuwa ni kuwapa adhabu watoto vilaza wasioelewa mwalimu. Au excuse kwa mwalimu kilaza asiyeweza kuelimisha watoto.

Tusifanye mambo bila kujua chanzo. Watoto wanabebeshwa adhabu na mizigo wasiyostahili.
 
No even if i was given the homework it doesnt mean even our kids shouldnt be giving homework no we have to build strong nation not panya road nation
Soma post hapo juu. Asili ya home work. Ilikuwa ni adhabu wa watoto wasioelewa darasani. Kama anafundishwa na kuelewa vzr. Kumpa homework ni uonevu kwa mtoto.
 
No even if i was given the homework it doesnt mean even our kids shouldnt be giving homework no we have to build strong nation not panya road nation
homework culture is toxic, students should be given tasks right after they're done learning something, this is when they can remember the most.... having homework is just stressfull in my opinion and personal experience.
 
I understand you mr but for me i think home work fo primary schools students is better
 
Hii ndio sababu ya familia kuporomoka. Maana hata mzazi aliyekulia homework akifika kazini anajipa homework ya mambo ya kazini badala kutumia muda huo kukaa na familia. Familywork.
Your dp reflects your thoughts
I Fmyou dont want to help your kids the homework tell them true i dont know evwn us we just tell them the truth
 
Haya mambo kwakweli yanafikirisha, holiday inakuaje tena muda wa homework.

Kuna watoto wanpalekwa kutahiriwa wanahitaji utulivu
 
Roberto Nevilis, a teacher in Venice, Italy. As the story goes, Nevilis invented homework in 1905 (or 1095) to punish students who didn't demonstrate a good understanding of the lessons taught during class.

Sihitaji kuwa mwalimu. Homework ni idea ya jamaa mmoja tu huko italia. Wakina galileo mageneous hawakuwa na hiyo kitu.
Home work lengo kuu ilikuwa ni kuwapa adhabu watoto vilaza wasioelewa mwalimu. Au excuse kwa mwalimu kilaza asiyeweza kuelimisha watoto.

Tusifanye mambo bila kujua chanzo. Watoto wanabebeshwa adhabu na mizigo wasiyostahili.
Unaweza kumfundisha daktari namna ya kumtibu mtu huku wewe sio daktari. Mnge kaa kimya tu ili mzidi kuonekana mna busara
 
Kwa nini home work?
Unadhani kwa nini mambo ya shule yasiishie shule. Maana bado ataenda tena kesho yake.
Huwezi kumpima kwa aliyojifunza hukohuko shuleni.

Nyumbani apimwe kwa shedule za homework, schoolwork sibaki hukohuko.
Mtoto akue multidimensionally. Shule ni asilimia ndogo sana la hitaji la mtoto kama unataka awe na tija.
Homework ni Namna ya mzazi kujuaa Kama umezaaa kilaza au kichwa kinachajii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Sasa kama na wew baba kichwani ndo kweupe lazima upate hasiraaa...!!
 
Homework ni Namna ya mzazi kujuaa Kama umezaaa kilaza au kichwa kinachajii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Sasa kama na wew baba kichwani ndo kweupe lazima upate hasiraaa...!!
Jamaa aliyebuni homework duniani anasema lengo la homework ni kwa watoto vilaza ambao wameshindwa kuelewa wakati wa vipindi.
Mkuu unabishana na mbunifu wa homework ulimwenguni.
Hahaha
 
Hata walimu hatupendi kutoa homework sema, tusipotoa wazazi hulalamika.

Utasikia "ile shule Bure kabisa"
 
Kwa mtazamo wangu, homework ni ushahidi kuwa walimu wameshindwa kutimiza wajibu wao. Mtoto akiwa shule anatakiwa amalize mambo ya shuleni hukohuko. Akirudi nyumbani awe na majukumu mengine ya nyumbani ili akili zake zitanuke katika vizio vyote.

Mbaya zaidi ni likizo. Likizo maana yake ni mapumziko. Sasa kuna ujanjaujanja wa wa shule za kisasa kumrundikia mtoto mafurushi ya vitini wanaita HOLIDAY PACKAGE. Hii ni ishara pia hwajiamini kama mtoto waliyomfundisha yamekaa. Mtoto aachwe arelax likizo ndio maana ya likizo. Hakuna tunakowahi.

Tuache amsalimie babu, ajichanganye na wenzake, ajifunze kupika, bustani,ujasiliamali kidogo na kazi za nyumbani.

Ni hayo tu.
Sure mkuu haiwezekani nimsaidie mwanangu maswali yote ya homework halaf akose yote[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom