Nashauri serikali ipige marufuku homework kwa watoto wa shule

Nashauri serikali ipige marufuku homework kwa watoto wa shule

Roberto Nevilis, a teacher in Venice, Italy. As the story goes, Nevilis invented homework in 1905 (or 1095) to punish students who didn't demonstrate a good understanding of the lessons taught during class.

Sihitaji kuwa mwalimu. Homework ni idea ya jamaa mmoja tu huko italia. Wakina galileo mageneous hawakuwa na hiyo kitu.
Home work lengo kuu ilikuwa ni kuwapa adhabu watoto vilaza wasioelewa mwalimu. Au excuse kwa mwalimu kilaza asiyeweza kuelimisha watoto.

Tusifanye mambo bila kujua chanzo. Watoto wanabebeshwa adhabu na mizigo wasiyostahili.
Sasa mwanao ni geneous mpaka asipewe homework??
 
Jamaa aliyebuni homework duniani anasema lengo la homework ni kwa watoto vilaza ambao wameshindwa kuelewa wakati wa vipindi.
Mkuu unabishana na mbunifu wa homework ulimwenguni.
Hahaha
Huenda mwanao ni moja ya hao vilaza mkuu. Ndio mana teacher anampa homework na holiday package
 
Huenda mwanao ni moja ya hao vilaza mkuu. Ndio mana teacher anampa homework na holiday package
Hahaha kama muasisi anasema Homework ni kwa watoto vilaza wasioelewa wakati wa darasani. Basi tuwaachi vilaza na walimu vilaza wanaowabebesha watoto mizigo baada ya kushindwa kuelewekq darasani.
 
Back
Top Bottom