Roberto Nevilis, a teacher in Venice, Italy. As the story goes, Nevilis invented homework in 1905 (or 1095) to punish students who didn't demonstrate a good understanding of the lessons taught during class.
Sihitaji kuwa mwalimu. Homework ni idea ya jamaa mmoja tu huko italia. Wakina galileo mageneous hawakuwa na hiyo kitu.
Home work lengo kuu ilikuwa ni kuwapa adhabu watoto vilaza wasioelewa mwalimu. Au excuse kwa mwalimu kilaza asiyeweza kuelimisha watoto.
Tusifanye mambo bila kujua chanzo. Watoto wanabebeshwa adhabu na mizigo wasiyostahili.