Kulinganisha nchi zilizo endelea zidi ya nchi maskini kama Tanzania katika kukopa si sawa.

Maskin kapuku amuige bakhresa namna anavyokopa? Huyo Maskin hataishia kufirisiwa tu bali ataishia jera [emoji108]

Madeni ni noma @ Mwana!
 
Wewe nyie ni wapuuzi sana. Inaweza kuuza nchi..

Ndugai ni Mzalendo, jibu hoja zake.
Hana hoja yoyote ya maana, kaficha unafiki sawasawa na Polepole. Ni watu waliozoea mav8 na ving'ora na taratibu nyingi za tabaka la watu wa juu.

Wanachoshindwa kuelewa maisha ni gwaride, ukisikia nyuma geuka wa kwanza anakuwa wa mwisho.
 
Unaongea ubaguzi mkuu. Kwa hiyo weww mtanganyika ndiye mwenye uchungu na nchi hii?.

Kuna wapumbavu wangapi wameiuza hii nchi na wana passport ya kitanz
Wengi tu, wewe na akili yako timamu unampa nchi mtu asiye uchungu na matatizo yako. Familia yako Anakubali kila ujinga kisa haimuhusu watoto wake. Ndugu zake.

Wewe umepewa nafasi kuitetea serikali hii, sio maslahi ya Watanzania. Fanya kazi yako yako.
 
Exactly,Samia apige chini mabaki yote Ya dikteta magufuli, hawana ujanja nje ya serikali Wala nje ya Chama hao wapuuzi kina nduugay
Yeye Samia ni baki la nani?

[emoji23][emoji23][emoji23]Nyie ni [emoji205][emoji205][emoji205]kabisa
 
Ulitaka aanzishe michache ili iweje, unakipimo utuambie ni miradi mingapi kwa mwaka serikali inatakiwa kuanzisha.Miradi Ile kila mmoja una source of fund ulitaka afanye nini!!!!
Ona kwanza mtu mwenyewe unaemjibu mkuu!
 
HUYU JAMAA SIYO MWENZETU TENA MKIAMUA KUMFUGA MFUGENI TU LAKINI SIYO MWENZETU TENA AMEKENGEUKA MANGULA AITISHE KIKAO MARA MOJA AVULIWE UANACHAMA, SISI WANA CCM TUNAAMINI AMEYAFANYA HAYA SI KWA BAHATI MBAYA LA HASHA AMEKUSUDIA, PIA UCHAGUZI UITWISHWE HARAKA JIMBONI KWAKE, BAADA YA KUVULIWA UANACHAMA WAKE.
 
Hana hoja yoyote ya maana, kaficha unafiki sawasawa na Polepole. Ni watu waliozoea mav8 na ving'ora na taratibu nyingi za tabaka la watu wa juu.

Wanachoshindwa kuelewa maisha ni gwaride, ukisikia nyuma geuka wa kwanza anakuwa wa mwisho.

Wewe upo sasa hivi kwenye utawala, lengo lako ni kuendeleza utawala wowote wa CCM.

Kupata kipato
 
Shida mmoja kubwa kwa Watanzania wengi hawajui jinsi siasa zinavyotakiwa kuwa,Ndugai na Samia ni viongozi wa Mihimili 2 tofauti ni washirika wa maendeleo ya Nchi lakini sio kwamba wanatakiwa wawe na mtazamo sawa, tulipokuwa tunazungumza kuwa Bunge halipaswi kuwa rubber stamp ya Serikali ndio maana yake hii.

Sasa muonavyo taka Ndugai aendelee kuwa kiraka wa Serikali- stupid Tanzanians.
 

Nashauri ndugai aazishe chama kingine, Agombea kuwa Rais.
 
Anzisha chama chako Utaungwa mkono na Watanganyika, Watanzania wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…