Nashauri Spika Ndugai ajiuzulu
Mange kaandika...
Kipindi cha Magu nani aliongea?.
Leo.......?
Kisa Mama ??!
 
53753B71-109E-4600-AD02-4195216772D0.jpeg
 
Utajiri wa kwenye karatasi tu. Uhalisia wa mambo ni tofauti na kujazana jeuri ya mdomoni.

Philipo, utajiri wetu tulipewa na Mungu. Unajua sababu ya Wazungu , Waarabu kuuendelea walipita huku walichukua historia yetu, yako wakaibadilsha kwa mgongo wa Mweusi.
 
Unaendelea kukariri nyimbo za umaskini wa afrika chanzo ni wazungu. Walishaondoka tangu mwanzo wa miaka ya sitini, mbona bado umaskini unatutesa mpaka leo?.

Switzerland kwa eneo ni ndogo sana lakini wanajitegemea. Tanzania kuna maeneo mpaka leo hayajaguswa lakini tunalia umaskini.
 
Mange kaandika...
Kipindi cha Magu nani aliongea?.
Leo.......?
Kisa Mama ??!

Kama kaongea kweli hivyo basi hana hoja naye!
Kwa hiyo kama hakupata sababu ya kuongea wakati ule akipata wazo au mantiki ya kuongea awamu hii atakuwa anakosea? Kivipi?

Ni wenye ufahamu finyu tu ndio wanaongea hayo maneno ya kusema Eti Mbona wakati wa JPM hakusema?!
 
Spika kule Marekan alichana hadharan Hotuba ya Rais baada ya kuisha hotuba, ingekuwa huku ingeombwa apigwe kombora
Hapa naelewa sasa, tuanze kuona maoni, mawazo mbadala si kukutakia mabaya, na usihisi hakupendi, anataka usifanikiwe na usimchukulie kama adui, pokea fanyia kazi ukipenda! Ikitokea hivyo tutakuwa na utamaduni bora sana, na kutupa heshima.
Siwezi sahau Rais wa Ukraine, alisemwa vibaya na waziri wake mkuu, kwa siri habari zilimfikia Rais, hivyo waziri akaona isiwe tabu, akaomba kujihuzuru, Rais alimkatalia na alimtaka aendelee na kazi, viongozi wa kiafrika ili ni gumu kwao!
 
Kama kaongea kweli hivyo basi hana hoja naye!
Kwa hiyo kama hakupata sababu ya kuongea wakati ule akipata wazo au mantiki ya kuongea awamu hii atakuwa anakosea? Kivipi?

Ni wenye ufahamu finyu tu ndio wanaongea hayo maneno ya kusema Eti Mbona wakati wa JPM hakusema?!
Ni kama slow slow
Wanafiq wakubwa
 
Rais ni Nembo ya nchi yetu na ni sauti halali ya watanzania wote. Kwa misingi hiyo bila kujali mawazo yangu binafsi dhidi ya Rais Samia, lakini anapokuwa anatekeleza majukumu yake kama Rais wa nchi hapaswi kubezwa na mtu yeyote hadharani. Mtu akifanya hivyo anakuwa ametudhalilisha watanzania wote tuliompa dhamana Rais wetu kutenda na kuongoza kwa niaba yetu.

Kwa hiyo mh Ndugai tumng'ang'ie na tumwajibishe ili liwe fundisho kwa yeyote mwenye mwelekeo wa kudhalilisha taasisi hii muhimu ya urais. NINAMWOMBA RAIS SAMIA ASIWASHIKE MIKONO WOTE WALIOAMUA KUMWAJIBISHA HUYU ALIYELEWA MADARAKA NA KUDHANI MAMLAKA YA URAÌS YANAPUNGUKA KAMA JINSI YA "KE" IKIWA IMEKALIA KITI CHA URAIS!!!

Ndugai lazima ANG'OKE.
 
Rais ni Nembo ya nchi yetu na ni sauti halali ya watanzania wote. Kwa misingi hiyo bila kujali mawazo yangu binafsi dhidi ya Rais Samia, lakini anapokuwa anatekeleza majukumu yake kama Rais wa nchi hapaswi kubezwa na mtu yeyote hadharani. Mtu akifanya hivyo anakuwa ametudhalilisha watanzania wote tuliompa dhamana Rais wetu kutenda na kuongoza kwa niaba yetu.
Kwa hiyo mh Ndugai tumng'ang'ie na tumwajibishe ili liwe fundisho kwa yeyote mwenye mwelekeo wa kudhalilisha taasisi hii muhimu ya urais. NINAMWOMBA RAIS SAMIA ASIWASHIKE MIKONO WOTE WALIOAMUA KUMWAJIBISHA HUYU ALIYELEWA MADARAKA NA KUDHANI MAMLAKA YA URAÌS YANAPUNGUKA KAMA JINSI YA "KE" IKIWA IMEKALIA KITI CHA URAIS!!! Ndugai lazima ANG'OKE.
Kwani hujui kuwa Ndugai ni chizi. Kale kaugonjwa kake sasa kamepanda kutoka vidoleni mpaka kichwani. Na mwili unaanza kuvimba kama puto!!!. Spika hovyoo tangu tupate uhuru.
 
Shida anakopa kwa Tanzania,mgao wa fedha na Zanzibar wanapewa,kwenye kulipa bara ndo peke yao watamenyeka.

Kuwa rais lazima uwe na ngozi ngumu Kama Kikwete,unawaita CHADEMA Ikulu mnakunywa nao chai,halafu wakitoka wanakuita rais dhaifu.
 
Rais ni Nembo ya nchi yetu na ni sauti halali ya watanzania wote. Kwa misingi hiyo bila kujali mawazo yangu binafsi dhidi ya Rais Samia, lakini anapokuwa anatekeleza majukumu yake kama Rais wa nchi hapaswi kubezwa na mtu yeyote hadharani. Mtu akifanya hivyo anakuwa ametudhalilisha watanzania wote tuliompa dhamana Rais wetu kutenda na kuongoza kwa niaba yetu.
Kwa hiyo mh Ndugai tumng'ang'ie na tumwajibishe ili liwe fundisho kwa yeyote mwenye mwelekeo wa kudhalilisha taasisi hii muhimu ya urais. NINAMWOMBA RAIS SAMIA ASIWASHIKE MIKONO WOTE WALIOAMUA KUMWAJIBISHA HUYU ALIYELEWA MADARAKA NA KUDHANI MAMLAKA YA URAÌS YANAPUNGUKA KAMA JINSI YA "KE" IKIWA IMEKALIA KITI CHA URAIS!!! Ndugai lazima ANG'OKE.

Kuna katiba mpya humo? Haya mengine mbona hayatuhusu?
 
Shida anakopa kwa Tanzania,mgao wa fedha na Zanzibar wanapewa,kwenye kulipa bara ndo peke yao watamenyeka.

Kuwa rais lazima uwe na ngozi ngumu Kama Kikwete,unawaita CHADEMA Ikulu mnakunywa nao chai,halafu wakitoka wanakuita rais dhaifu.

Kwani kwa yaliyofanyika Chatto na kanda ya ziwa mlipaji alikuwa nani?
 
Rais ni Nembo ya nchi yetu na ni sauti halali ya watanzania wote. Kwa misingi hiyo bila kujali mawazo yangu binafsi dhidi ya Rais Samia, lakini anapokuwa anatekeleza majukumu yake kama Rais wa nchi hapaswi kubezwa na mtu yeyote hadharani. Mtu akifanya hivyo anakuwa ametudhalilisha watanzania wote tuliompa dhamana Rais wetu kutenda na kuongoza kwa niaba yetu.
Kwa hiyo mh Ndugai tumng'ang'ie na tumwajibishe ili liwe fundisho kwa yeyote mwenye mwelekeo wa kudhalilisha taasisi hii muhimu ya urais. NINAMWOMBA RAIS SAMIA ASIWASHIKE MIKONO WOTE WALIOAMUA KUMWAJIBISHA HUYU ALIYELEWA MADARAKA NA KUDHANI MAMLAKA YA URAÌS YANAPUNGUKA KAMA JINSI YA "KE" IKIWA IMEKALIA KITI CHA URAIS!!! Ndugai lazima ANG'OKE.
... Ndugai mlimpa kinga ya kutoshtakiwa popote akiwa yupo au hayupo madarakani! Endeleeni kulichezea taifa kwa maamuzi ya kijinga.
 
Back
Top Bottom