Nashauri taifa limteue Paul Makonda kuwa mrithi wa Faustine Ndugulile pale WHO

Du kweli Elimu ni muhimu! Kwa hali ya kawaida mtoa mada umeshindwa kujua nafasi ya Marehemu Dr Ndungulile ni ya kitaaluma zaidi na wahusika ni Health personnel?WHO na Makonda wapi na wapi?
 
Rais kasema watam-nominate mtu mwingine. Kuna shida gani wakampeleka Makonda?
Ana vyeti?
Alisoma nini?
Wapi?
Alihitimu mwaka gani?
Aliwahi kufanya kazi wapi kama nani na kwa muda gani

Mbali na elimu kama anayo ana skills nyingine?
 
Mkuu kuna shida gani Makonda kwenda huko WHO?

Kama Daktari wetu Ndugulile kaweza yeye anashindwa nini?

Vyeti si anavyo?
Kule hakuna siasa za ki-chawa mkuu. Wala hakuna u-kilaza. Kwanza hata kwa Ndugulile ni basi tu kwasababu nchi yetu inapenda kuwapa wanasiasa kila kitu, wala yeye hakuwa the best candidate. Hivyo nafasi ni ya wanasayansi wabobevu tena kwenye mambo ya afya na sio vinginevyo. Makonda hata ukuu wa wilaya hafai kabisa.
 
Kwakuwa kule wapo wajumbe na pia wasimamizi wa uchaguzi,sina shakawajumbe watafanya kazi yao ipasavyo.
 
Yes akafanye yale maigizo yake kule New York na Brazzaville tupate jina zaidi kimataifa
 
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/reel/1233382064537124
 
Kwa taarifa yako, hiko cheo ni cha utendaji: lazima uwe ni daktari wa binadamu na si vinginevyo.

Sifa (qualifications) alizonazo Makonda ni kwa nafasi kama za ubalozi wa United Nation Security Council, Mkurugenzi Mkuu wa Umoja wa Mataifa na zingine zinazofanana. Siyo hiyo ya Mtendaji mkuu wa World Health Organization kwa bara la Afrika.
 
ana damu za watu
 
Labda Whu ya mawitch craft kolomije Kolomije 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…