Nashauri taifa limteue Paul Makonda kuwa mrithi wa Faustine Ndugulile pale WHO

Shida sio topic, shida ni moderators kuacha huu upuuzi kuwa topic of discussion jukwaa la siasa.

Hivi what is the mission statement ya JF Jukwaa la siasa.

At this point JF ina majukwaa luluki, hizo ni portfolio tofauti kama ni biashara, Na kila business unit serves a different purpose.

May be it’s time JF iajiri wataalamu wa fani tofauti nje ya IT ku-position forum zao ku-attract watu sahihi.

Just saying
 
Wakuu,

Kila nikiangalia mtu wa kuziba pengo la msomi wetu Dkt Ndugulile pale WHO namuona Paul Makonda tu.

Kutokana na "uchapakazi" wake akiwa mkuu wa mkoa pamoja na uwezo wa kuongea mbele za watu nashauri huyu ndo akawakilishe taifa huko WHO kama Mkurugenzi

Pia kwa kuwa tulihakikishiwa kuwa vyeti vipo na ana elimu ya kutosha kiasi cha kuwa mkuu wa mkoa, kiukweli kwenye nchi hii ya watu Milioni 60 sidhani kama kuna mtu mwingine yoyote qualified zaidi yake

Makonda ni muda wako sasa wa kupeleka vyeti ili upate nomination pale WHO na uweze kwenda kimataifa.

PIA SOMA
- Paul Makonda kuchukua nafasi ya Ubunge kigamboni na kupewa Uwaziri baada ya Faustine Ndugulile kuchaguliwa WHO?
Utani mwingine bwana. Heri tuteue bata au kuku achukue nafasi hii kuliko bashite
 
Wakuu,

Kila nikiangalia mtu wa kuziba pengo la msomi wetu Dkt Ndugulile pale WHO namuona Paul Makonda tu.

Kutokana na "uchapakazi" wake akiwa mkuu wa mkoa pamoja na uwezo wa kuongea mbele za watu nashauri huyu ndo akawakilishe taifa huko WHO kama Mkurugenzi

Pia kwa kuwa tulihakikishiwa kuwa vyeti vipo na ana elimu ya kutosha kiasi cha kuwa mkuu wa mkoa, kiukweli kwenye nchi hii ya watu Milioni 60 sidhani kama kuna mtu mwingine yoyote qualified zaidi yake

Makonda ni muda wako sasa wa kupeleka vyeti ili upate nomination pale WHO na uweze kwenda kimataifa.

PIA SOMA
- Paul Makonda kuchukua nafasi ya Ubunge kigamboni na kupewa Uwaziri baada ya Faustine Ndugulile kuchaguliwa WHO?
Post inataka medical doctors, sio witches.
 
Daaa DAB atakataliwa live na US maana ana ban mikono yake ina damu....hata angekuwa na sifa.....
 
Ya Ndungulile aliemuangusha kwenye zile kura za maoni sasa hivi udenda unamtoka huko analitamani hilo jimbo toka enzi na enzi ndoto ya DAB ni kuingia bungeni akagonge meza zile
Bashite ni mfitinishaji

Alikuwa fika Ndugulile alikuwa mgombea yeye akajichomeka

Ndiye aliye mchomea kwa Jiwe akaondolewa Unaibu Waziri

Halima Mdee ametufungua msibani
Lakini Watanzania hatuunganishi code
 
Wakuu,

Kila nikiangalia mtu wa kuziba pengo la msomi wetu Dkt Ndugulile pale WHO namuona Paul Makonda tu.

Kutokana na "uchapakazi" wake akiwa mkuu wa mkoa pamoja na uwezo wa kuongea mbele za watu nashauri huyu ndo akawakilishe taifa huko WHO kama Mkurugenzi

Pia kwa kuwa tulihakikishiwa kuwa vyeti vipo na ana elimu ya kutosha kiasi cha kuwa mkuu wa mkoa, kiukweli kwenye nchi hii ya watu Milioni 60 sidhani kama kuna mtu mwingine yoyote qualified zaidi yake

Makonda ni muda wako sasa wa kupeleka vyeti ili upate nomination pale WHO na uweze kwenda kimataifa.

PIA SOMA
- Paul Makonda kuchukua nafasi ya Ubunge kigamboni na kupewa Uwaziri baada ya Faustine Ndugulile kuchaguliwa WHO?
Kuna tusi najaribu kulipost ila mtandao unakataa, ila ni hilohilo ambalo utaliwaza
 
Wakuu,

Kila nikiangalia mtu wa kuziba pengo la msomi wetu Dkt Ndugulile pale WHO namuona Paul Makonda tu.

Kutokana na "uchapakazi" wake akiwa mkuu wa mkoa pamoja na uwezo wa kuongea mbele za watu nashauri huyu ndo akawakilishe taifa huko WHO kama Mkurugenzi

Pia kwa kuwa tulihakikishiwa kuwa vyeti vipo na ana elimu ya kutosha kiasi cha kuwa mkuu wa mkoa, kiukweli kwenye nchi hii ya watu Milioni 60 sidhani kama kuna mtu mwingine yoyote qualified zaidi yake

Makonda ni muda wako sasa wa kupeleka vyeti ili upate nomination pale WHO na uweze kwenda kimataifa.

PIA SOMA
- Paul Makonda kuchukua nafasi ya Ubunge kigamboni na kupewa Uwaziri baada ya Faustine Ndugulile kuchaguliwa WHO?
Ptuuuuu!
 
Baada ya Faustine ndugulile kufariki nafasi ile ndani ya WHO ikawa wazi na iko wazi mpaka sasa! wanachofanya wao ni kufuata utaratibu kama ule uliotumika kumpata Ndugulile,watu watajitokeza,watapigiwa kura,atashinda mmoja. na kama Tanzania itatoa mgombea basi huyo mgombea ataanza moja na hatateuliwa au kuchaguliwa kwa kigezo kuwa aliyefariki alikuwa Mtanzania. yeye atasimama kama yeye kutetea nafasi yake. na mataifa yote ya Africa yana nafasi ya kutoa mtu wao mmoja kushika nafasi hiyo, kwa hiyo Mtanzania atakayeamua kuingia ktk kinyang'nyiro basi aende akapambane haswa si kutumia kivuli ya ndugulile. WHO Sio ya ya kurithishana hapo ni taaluma,historia,na ushawishi. over.
 
Wakuu,

Kila nikiangalia mtu wa kuziba pengo la msomi wetu Dkt Ndugulile pale WHO namuona Paul Makonda tu.

Kutokana na "uchapakazi" wake akiwa mkuu wa mkoa pamoja na uwezo wa kuongea mbele za watu nashauri huyu ndo akawakilishe taifa huko WHO kama Mkurugenzi

Pia kwa kuwa tulihakikishiwa kuwa vyeti vipo na ana elimu ya kutosha kiasi cha kuwa mkuu wa mkoa, kiukweli kwenye nchi hii ya watu Milioni 60 sidhani kama kuna mtu mwingine yoyote qualified zaidi yake

Makonda ni muda wako sasa wa kupeleka vyeti ili upate nomination pale WHO na uweze kwenda kimataifa.

PIA SOMA
- Paul Makonda kuchukua nafasi ya Ubunge kigamboni na kupewa Uwaziri baada ya Faustine Ndugulile kuchaguliwa WHO?
Nimeelewa sasa kwa nini member mmoja aliwahi kushauri kuwa uanze utaratibu wa kufanya BRAIN TEST kabla ya kupewa usajili JF ili kuepusha kushusha heshima ya jukwaa kama hivi.
 
Wakuu,

Kila nikiangalia mtu wa kuziba pengo la msomi wetu Dkt Ndugulile pale WHO namuona Paul Makonda tu.

Kutokana na "uchapakazi" wake akiwa mkuu wa mkoa pamoja na uwezo wa kuongea mbele za watu nashauri huyu ndo akawakilishe taifa huko WHO kama Mkurugenzi

Pia kwa kuwa tulihakikishiwa kuwa vyeti vipo na ana elimu ya kutosha kiasi cha kuwa mkuu wa mkoa, kiukweli kwenye nchi hii ya watu Milioni 60 sidhani kama kuna mtu mwingine yoyote qualified zaidi yake

Makonda ni muda wako sasa wa kupeleka vyeti ili upate nomination pale WHO na uweze kwenda kimataifa.

PIA SOMA
- Paul Makonda kuchukua nafasi ya Ubunge kigamboni na kupewa Uwaziri baada ya Faustine Ndugulile kuchaguliwa WHO?
Interview inafanyika Marekani,ataweza kwenda?
 
kwa CV gani apate hata nomination tu WHO? WHO sio CCM bata waheed
 
Back
Top Bottom