Nashauri taifa limteue Paul Makonda kuwa mrithi wa Faustine Ndugulile pale WHO

Mtumeeeeee! Kweli nchi hii kuna watu wasiojua….ndio maana CCM bado inapeta!

Mkuu kuna shida gani Makonda kwenda huko WHO?

Kama Daktari wetu Ndugulile kaweza yeye anashindwa nini?

Vyeti si anavyo?
 
Dr Ndugulile (R.I.P) alikuwa Daktari wa tiba kwa taaluma, ni moja ya kigezo alichoteuliwa kwa nafasi hiyo ya WHO. Makonda sidhani kama ana taaluma ya udaktari wa tiba. Mbali na soft skills kama za Makonda pia inahitajika hard skills. Maana yake ni sawa na Afisa Sheria au Afisa Misitu ateuliwe kuwa Mganga Mkuu (DMO au RMO) kitu ambacho haiwezekani.

Wewe unajuaje kama Makonda hana taaluma ya Udaktari?

Ushawahi kuona vyeti au CV yake?
 
Wakuu,

Kila nikiangalia mtu wa kuziba pengo la msomi wetu Dkt Ndugulile pale WHO namuona Paul Makonda tu.

Kutokana na "uchapakazi" wake akiwa mkuu wa mkoa pamoja na uwezo wa kuongea mbele za watu nashauri huyu ndo akawakilishe taifa huko WHO kama Mkurugenzi

Pia kwa kuwa tulihakikishiwa kuwa vyeti vipo na ana elimu ya kutosha kiasi cha kuwa mkuu wa mkoa, kiukweli kwenye nchi hii ya watu Milioni 60 sidhani kama kuna mtu mwingine yoyote qualified zaidi yake

Makonda ni muda wako sasa wa kupeleka vyeti ili upate nomination pale WHO na uweze kwenda kimataifa.

PIA SOMA
- Paul Makonda kuchukua nafasi ya Ubunge kigamboni na kupewa Uwaziri baada ya Faustine Ndugulile kuchaguliwa WHO?
Huko mama ni brain tu ndiyo inatumika siyo maguvu!
 
Kama ingekuwa kupendekeza mimi ningempendekeza Prof. Maulilio Kipanyula the big brain veterinarian!
 
Wakuu,

Kila nikiangalia mtu wa kuziba pengo la msomi wetu Dkt Ndugulile pale WHO namuona Paul Makonda tu.

Kutokana na "uchapakazi" wake akiwa mkuu wa mkoa pamoja na uwezo wa kuongea mbele za watu nashauri huyu ndo akawakilishe taifa huko WHO kama Mkurugenzi

Pia kwa kuwa tulihakikishiwa kuwa vyeti vipo na ana elimu ya kutosha kiasi cha kuwa mkuu wa mkoa, kiukweli kwenye nchi hii ya watu Milioni 60 sidhani kama kuna mtu mwingine yoyote qualified zaidi yake

Makonda ni muda wako sasa wa kupeleka vyeti ili upate nomination pale WHO na uweze kwenda kimataifa.

PIA SOMA
- Paul Makonda kuchukua nafasi ya Ubunge kigamboni na kupewa Uwaziri baada ya Faustine Ndugulile kuchaguliwa WHO?
Mr. Mindyou, mind you!!!
 
Pale unapoweka tui kwenye chai ya iliki. Nyie ndio vijana tunataka kuwaachia nchi. Mungu anusuru hili taifa.
 
Back
Top Bottom