Nashauri taifa limteue Paul Makonda kuwa mrithi wa Faustine Ndugulile pale WHO

Nashauri taifa limteue Paul Makonda kuwa mrithi wa Faustine Ndugulile pale WHO

unatumia nn kufikiri na kusema hivyo

Makonda hujitanabaisha kama mchapakazi ambaye hufanya kazi hadi saa 10 usiku

Na kama amefika nafasi ya ukuu wa mkoa maana yake atakuwa na certain level of academic qualifications.

Uchapakazi wake na vyeti vyake vitamfikisha huko WHO
 
WHO ni UN halafu makao makuu ya UN ni NEW YORK na Kaka kule amepigwa BAN. Huu ushauri na mapendekezo yako hayana msingi. Jaribu tena baadae 🤣🤣🤣
😂 😂 😂 😂 Wamrekani ni waelewa mkuu

Wakiona kapata kitengo WHO watatoa ban
 
Rais kasema watam-nominate mtu mwingine. Kuna shida gani wakampeleka Makonda?
Dr Ndugulile (R.I.P) alikuwa Daktari wa tiba kwa taaluma, ni moja ya kigezo alichoteuliwa kwa nafasi hiyo ya WHO. Makonda sidhani kama ana taaluma ya udaktari wa tiba. Mbali na soft skills kama za Makonda pia inahitajika hard skills. Maana yake ni sawa na Afisa Sheria au Afisa Misitu ateuliwe kuwa Mganga Mkuu (DMO au RMO) kitu ambacho haiwezekani.
 
Kweli ukichaa unazidi kushika kasi Tanzania. Mtoa mada anafikiri nafasi ya WHO ni kama uenyekiti wa mtaa unapewa tu.
 
Back
Top Bottom