Nashauri taifa limteue Paul Makonda kuwa mrithi wa Faustine Ndugulile pale WHO

Makonda amesomea nini? Ana Bachelors ya kitu gani?

Kama unasema hana qualifications za udokta maana yake kuna vitu vingine atakuwa amebobea.
Masters ya kuteka na kutesa na kuuwa R I P Ben Sanane. Pole Lissu kwa ulemavu wa kudumu
 
Wakuu,

Kila nikiangalia mtu wa kuziba pengo la msomi wetu Dkt Ndugulile pale WHO namuona Paul Makonda tu.

Kutokana na "uchapakazi" wake akiwa mkuu wa mkoa pamoja na uwezo wa kuongea mbele za watu nashauri huyu ndo akawakilishe taifa huko WHO kama Mkurugenzi

Pia kwa kuwa tulihakikishiwa kuwa vyeti vipo na ana elimu ya kutosha kiasi cha kuwa mkuu wa mkoa, kiukweli kwenye nchi hii ya watu Milioni 60 sidhani kama kuna mtu mwingine yoyote qualified zaidi yake

Makonda ni muda wako sasa wa kupeleka vyeti ili upate nomination pale WHO na uweze kwenda kimataifa.

PIA SOMA
- Paul Makonda kuchukua nafasi ya Ubunge kigamboni na kupewa Uwaziri baada ya Faustine Ndugulile kuchaguliwa WHO?
Akifika huko WHO atatumia jina lake halisi la DAB, au ataendelea kutumia hili la mtu mwingine?
 
Wakuu,

Kila nikiangalia mtu wa kuziba pengo la msomi wetu Dkt Ndugulile pale WHO namuona Paul Makonda tu.

Kutokana na "uchapakazi" wake akiwa mkuu wa mkoa pamoja na uwezo wa kuongea mbele za watu nashauri huyu ndo akawakilishe taifa huko WHO kama Mkurugenzi

Pia kwa kuwa tulihakikishiwa kuwa vyeti vipo na ana elimu ya kutosha kiasi cha kuwa mkuu wa mkoa, kiukweli kwenye nchi hii ya watu Milioni 60 sidhani kama kuna mtu mwingine yoyote qualified zaidi yake

Makonda ni muda wako sasa wa kupeleka vyeti ili upate nomination pale WHO na uweze kwenda kimataifa.

PIA SOMA
- Paul Makonda kuchukua nafasi ya Ubunge kigamboni na kupewa Uwaziri baada ya Faustine Ndugulile kuchaguliwa WHO?
unatumia nn kufikiri na kusema hivyo
 
Makonda amesomea nini? Ana Bachelors ya kitu gani?

Kama unasema hana qualifications za udokta maana yake kuna vitu vingine atakuwa amebobea.
Sasa kama educational background tu imeshamtoa kwenye kinyang’ganyiro, hayo mambo mengine dont count likija suala la kupata nafasi za juu kwenye mashirika ya kimataifa
They dont play around, na pale kuna majembe kutoka nchi zingine yenye qualification kuliko yeye
 
Wakuu,

Kila nikiangalia mtu wa kuziba pengo la msomi wetu Dkt Ndugulile pale WHO namuona Paul Makonda tu.

Kutokana na "uchapakazi" wake akiwa mkuu wa mkoa pamoja na uwezo wa kuongea mbele za watu nashauri huyu ndo akawakilishe taifa huko WHO kama Mkurugenzi

Pia kwa kuwa tulihakikishiwa kuwa vyeti vipo na ana elimu ya kutosha kiasi cha kuwa mkuu wa mkoa, kiukweli kwenye nchi hii ya watu Milioni 60 sidhani kama kuna mtu mwingine yoyote qualified zaidi yake

Makonda ni muda wako sasa wa kupeleka vyeti ili upate nomination pale WHO na uweze kwenda kimataifa.

PIA SOMA
- Paul Makonda kuchukua nafasi ya Ubunge kigamboni na kupewa Uwaziri baada ya Faustine Ndugulile kuchaguliwa WHO?
WHO ni UN halafu makao makuu ya UN ni NEW YORK na Kaka kule amepigwa BAN. Huu ushauri na mapendekezo yako hayana msingi. Jaribu tena baadae 🤣🤣🤣
 
Makonda apigwe brush chapchap wa masuala ya afya, kisha jina lipelekwe kabla ya deadline.
Nawaza kama liCCM
 
Wakuu,

Kila nikiangalia mtu wa kuziba pengo la msomi wetu Dkt Ndugulile pale WHO namuona Paul Makonda tu.

Kutokana na "uchapakazi" wake akiwa mkuu wa mkoa pamoja na uwezo wa kuongea mbele za watu nashauri huyu ndo akawakilishe taifa huko WHO kama Mkurugenzi

Pia kwa kuwa tulihakikishiwa kuwa vyeti vipo na ana elimu ya kutosha kiasi cha kuwa mkuu wa mkoa, kiukweli kwenye nchi hii ya watu Milioni 60 sidhani kama kuna mtu mwingine yoyote qualified zaidi yake

Makonda ni muda wako sasa wa kupeleka vyeti ili upate nomination pale WHO na uweze kwenda kimataifa.

PIA SOMA
- Paul Makonda kuchukua nafasi ya Ubunge kigamboni na kupewa Uwaziri baada ya Faustine Ndugulile kuchaguliwa WHO?
Makonda akili yake ni ndogo haifit ile post
 
"Samahani mheshimiwa hivi unamjua Bashite..
Hili ni jipu jipya toka Koromije..
Limesha iva na usaa limeshatunga..
Nakukabidhi sindano ya kulidunga..
Daktari haogopi ukubwa wa kidonda..
We si Dr wa majipu tumbua hakuna kuvunga.."
Hivi Ney alitoka salama kwenye hii mistari(Hakutekwa)?
 
Back
Top Bottom