Nashauri taifa limteue Paul Makonda kuwa mrithi wa Faustine Ndugulile pale WHO

Nashauri taifa limteue Paul Makonda kuwa mrithi wa Faustine Ndugulile pale WHO

Wakuu,

Kila nikiangalia mtu wa kuziba pengo la msomi wetu Dkt Ndugulile pale WHO namuona Paul Makonda tu.

Kutokana na "uchapakazi" wake akiwa mkuu wa mkoa pamoja na uwezo wa kuongea mbele za watu nashauri huyu ndo akawakilishe taifa huko WHO kama Mkurugenzi

Pia kwa kuwa tulihakikishiwa kuwa vyeti vipo na ana elimu ya kutosha kiasi cha kuwa mkuu wa mkoa, kiukweli kwenye nchi hii ya watu Milioni 60 sidhani kama kuna mtu mwingine yoyote qualified zaidi yake

Makonda ni muda wako sasa wa kupeleka vyeti ili upate nomination pale WHO na uweze kwenda kimataifa.

PIA SOMA
- Paul Makonda kuchukua nafasi ya Ubunge kigamboni na kupewa Uwaziri baada ya Faustine Ndugulile kuchaguliwa WHO?
Kwani Makonda ana degree ya udaktari? Yuko fluent na lugha ya kiingereza? Hiyo siyo post ya kuteuliwa tu bali lazima upambane na uwe mahiri kwenye kujieleza issues za afya na nyingine ambazo zinahusu maeneo hayo.
 
Nyie watu wa CCM hovyo kabisa. Mnafikiri kila nafasi ya uteuzi anaweza kuteuliwa mtu wa darasa la saba.

Kuniweka mimi na CCM kwenye sentesi moja ni kunikosea sana mkuu

BIla shaka hujaelewa huu uzi kabisa
 
Emu ifike wakati mpunguze uchawa uchwara km Kigamboni sawa atapata tu tena kwa hizi figisu za uchaguzi DAB fasta amachukua jimbo la Kigamboni ila WHO sio Arusha ile kwamba ataenda kula Mshahara wa 130M kwa Mwezi changanya na marupurupu ya kutosha hapo mkewe analipwa 65M kwa Mwezi, DAB asubiri sana hana hio exposure hivi Ummy na Makamba Jr watakaa wampigie kampeni DAB au JK akae anampigia kampeni DAB hao anaowapigia hizo kampeni watamuonaje?

Alisema yeye ni kiongozi wa watu na ametumwa kuwatumikia wananchi.

Kama ameweza kuwatumikia wana Arusha anashindwa nini kutumikia Waafrika?

Au Waafrika sio wananchi? Vyeti anavyo akapeleke apate nomination
 
Bashite Jimbo lake now lipo Wazi kalipambania sana hadi kafanikiwa hahaha
 
Wakuu,

Kila nikiangalia mtu wa kuziba pengo la msomi wetu Dkt Ndugulile pale WHO namuona Paul Makonda tu.

Kutokana na "uchapakazi" wake akiwa mkuu wa mkoa pamoja na uwezo wa kuongea mbele za watu nashauri huyu ndo akawakilishe taifa huko WHO kama Mkurugenzi

Pia kwa kuwa tulihakikishiwa kuwa vyeti vipo na ana elimu ya kutosha kiasi cha kuwa mkuu wa mkoa, kiukweli kwenye nchi hii ya watu Milioni 60 sidhani kama kuna mtu mwingine yoyote qualified zaidi yake

Makonda ni muda wako sasa wa kupeleka vyeti ili upate nomination pale WHO na uweze kwenda kimataifa.
PIA SOMA
- Paul Makonda kuchukua nafasi ya Ubunge kigamboni na kupewa Uwaziri baada ya Faustine Ndugulile kuchaguliwa WHO?
Hiyi Sio Nafasi ya Kisiasa ni Nafasi ya Kisomi na Kielimu hivyo hawezi kuirithi Asiye na Elimu ya Afya (Udaktari) angalau Hata ka Master Huku akiwa Influencial person
 
Acha ujinga dogo
GM9TpESWUAAs5kn.jpeg
 
Back
Top Bottom