Nashauri taifa limteue Paul Makonda kuwa mrithi wa Faustine Ndugulile pale WHO

Wakuu,

Kila nikiangalia mtu wa kuziba pengo la msomi wetu Dkt Ndugulile pale WHO namuona Paul Makonda tu.

Kutokana na "uchapakazi" wake akiwa mkuu wa mkoa pamoja na uwezo wa kuongea mbele za watu nashauri huyu ndo akawakilishe taifa huko WHO kama Mkurugenzi

Pia kwa kuwa tulihakikishiwa kuwa vyeti vipo na ana elimu ya kutosha kiasi cha kuwa mkuu wa mkoa, kiukweli kwenye nchi hii ya watu Milioni 60 sidhani kama kuna mtu mwingine yoyote qualified zaidi yake

Makonda ni muda wako sasa wa kupeleka vyeti ili upate nomination pale WHO na uweze kwenda kimataifa.

PIA SOMA
- Paul Makonda kuchukua nafasi ya Ubunge kigamboni na kupewa Uwaziri baada ya Faustine Ndugulile kuchaguliwa WHO?
Oooh taifa langu lenye watu wafu walio hai
 
"Samahani mheshimiwa hivi unamjua Bashite..
Hili ni jipu jipya toka Koromije..
Limesha iva na usaa limeshatunga..
Nakukabidhi sindano ya kulidunga..
Daktari haogopi ukubwa wa kidonda..
We si Dr wa majipu tumbua hakuna kuvunga.."
 
Hana vigezo vya ku serve hiyo nafasi. WHO si shirika la urithi, ndugulile ali qualify sababu alikuwa na vigezo. Paul makonda hana such cv, let slone hajawi serve kwneye hiyo career

Makonda amesomea nini? Ana Bachelors ya kitu gani?

Kama unasema hana qualifications za udokta maana yake kuna vitu vingine atakuwa amebobea.
 
Wakuu,

Kila nikiangalia mtu wa kuziba pengo la msomi wetu Dkt Ndugulile pale WHO namuona Paul Makonda tu.

Kutokana na "uchapakazi" wake akiwa mkuu wa mkoa pamoja na uwezo wa kuongea mbele za watu nashauri huyu ndo akawakilishe taifa huko WHO kama Mkurugenzi

Pia kwa kuwa tulihakikishiwa kuwa vyeti vipo na ana elimu ya kutosha kiasi cha kuwa mkuu wa mkoa, kiukweli kwenye nchi hii ya watu Milioni 60 sidhani kama kuna mtu mwingine yoyote qualified zaidi yake

Makonda ni muda wako sasa wa kupeleka vyeti ili upate nomination pale WHO na uweze kwenda kimataifa.

PIA SOMA
- Paul Makonda kuchukua nafasi ya Ubunge kigamboni na kupewa Uwaziri baada ya Faustine Ndugulile kuchaguliwa WHO?
Dah ,una masihara mkuu
 
Vyeti viko wapi?
 
Back
Top Bottom