Nashindwa kabisa kumuelewa Tundu Lissu, moja kati ya wanasiasa niliokuwa nawakubali sana

SAWA kabisa.Chaguzi za ndani ya chama tunawezaje kupiga kampeni kwenye clubhouse?
 
Ila Mbowe ndio unamuelewa vizuri sana!!

Wewe utakuwa ni tapeli la Kichaga!
 
No, sitakujibu......., please thoroughly analyze Lisu's recent behavior! particularly in terms of relationship with his team mate in his party
Ulitamani uhusiano wa Lissu na wenzake wanaohongwa kwa gharama za Watanganyika iweje?
 
Kwa maelezo ya Lissu na ushahidi juu, sasa nimemuelewa Msigwa, nilichelewa kumuelewa Msigwa.

Kwa maelezo ya Lissu, chadema sio chama cha siasa, ni saccos ya familia ya Mbowe. Mbowe anaitumia Chadema kama mali yake binafsi.

Ni wakati sasa watu wenye akili watoke wamuachie saccos yake.
 
SAWA kabisa.Chaguzi za ndani ya chama tunawezaje kupiga kampeni kwenye clubhouse?
Kampeni zinapigwa popote pale penye fursa ya kuwafikia wapiga kura!

Majuzi hapa Trump kapiga kampeni kwenye podcasts, McDonald’s, na kwenye lori la kusombea takataka.

Matokeo yake wote tumeyaona.
 
Unatueleza yote haya kwa sababu zipi hasa. Hujioni wewe mwenyewe kuwa na kasoro kubwa sana?

Tueleze, kwanza, ulipo "mpenda" ulimpendea mambo gani, wakati maelezo yote yanaonyesha sifa zote usizo zipenda wewe!
Kuna unafiki zaidi ya unao uonyesha mwenyewe hapa?
 
Kiongozi mzuri ni yule ambaye anatambua juhudi za pamoja wanachama kufanikisha malengo
Mstari mmoja wenye maneno mazuri, lakini nina mashaka kama unaelewa maana ya maneno hayo!
Ni "juhudi za pamoja" zipi ambazo wewe unafikiri Tundu Lissu kazikiuka?
 
Umeandika ngonjera za mipasho! kwaheri
 
Kwa vyovyote Lisu he will not win! uyu hafai kwa lolote...tunabishana hapa kwa vile hatujui tunabihana na nani..si ajabu ni D2.......
 
Umekopi wapi? 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Nikipata muda nitakupa mifano ambyo ina evidence kuwa hana qualities hizo!
By the way elimu yako ikoje? sitaki kujibizana na mtu ambaye level yake ni KUBWA kuliko yangu..level yangu ni ndogo
 
Kama huna D mbili Halali huwezi lielewa hili jembe mkuu😂😂
 
Kama huna D mbili Halali huwezi lielewa hili jembe mkuu😂😂
Kwa recent trends za Lisu siyo jembe tena........ ni mtu mpuuzi tu ambaye mental health is questionable

Alikuwa mtu makini sana, naona ka kichaa kana amka
 
Haahaa hafai kwa lolote ilhali ni makamu mwenyekiti, alikuwa rais TLS, mgombea urais? Wewe una nn Cha maana?
Urais hata Steve Nyerere , Kingwendu wanaweza kugombea, kwani kugombea urais si ukiwa na chama, ukajaza fomu chama chako kikau endorse unagombea....
 
Kwa recent trends za Lisu siyo jembe tena........ ni mtu mpuuzi tu ambaye mental health is questionable

Alikuwa mtu makini sana, naona ka kichaa kana amka
Haahaa pole, kwa lissu Yuko mbali Sana, ni watu wachache Sana hutokea kama lissu .Watu wengi wakubwa walioko serikalini nimewahi wasikia wakisema lissu kwa uwezo wake hakufaa kuwepo chadema.Very smart
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…