Nashindwa kuamini hiki ninachokisoma kuhusu haya makato ya LUKU

Katika hili wamekosea sana ,hivi miamala ilikuwa haitoshi?Daaah..!

Wacha tuisome namba tu, ila tunakoelekea kuna watu watakuja kuvuka mito na mabonde wakiwa uchi.

Hii nchi ni kama vile imelaaniwa kabisa, Rais aliyepo nae anaendeshwa kubota tu.
 
Usilalamik hiyo ndiyo faida ya kuwa na Bunge la kijani,maana wapinzani walituchelewesha kupata maendeleo.
 
 

Attachments

  • 2850007_220078589_1690389091165713_5262137292318157038_n.mp4
    2.2 MB
Habari za jioni wateja wetu.
Kuanzia leo sheria ya kulipa kodi ya jengo kupitia manunuzi ya umeme imeanza kutekelezwa.
Kwa hiyo mteja akinunua umeme atakatwa shs 2000 ikiwa ni kodi ya Jengo inayodaiwa na Tra.kodi hii ilitakiwa kuanza tarehe 01.07.2021 lakini imeanza leo.
Hivyo mteja akinunua umeme kuanzila leo atakatwa shs 2000 ambayo ni kodi ya jengo ya miezi miwili ya (Julai na Agasti.)
Tunawashauri wateja wetu wanunue umeme wa kuanzia 3000 ili walipie kodi ya jengo 2000 na shs 1000 wapate umeme.
Imetolewa na:
Ofisi ya uhusiano na huduma kwa wateja
TANESCO
20.08.2021


Copy and paste
 
Mama anawafuta machozi hahahahahah


USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…