Nashindwa kuamini hiki ninachokisoma kuhusu haya makato ya LUKU

Nashindwa kuamini hiki ninachokisoma kuhusu haya makato ya LUKU

Tafakari ... Chukua hatua ... nge nge nge ...
UVCCM hazituhusu hizi Tozo.
 
Kodi ni muhimu kwa maendeleo ya taifa letu. Kuna maeneo bado yamesahaulika. Wakubwa tupieni jicho kwenye ving"amuzi vya runinga! Kila mwezi na wao wachangie kidogo kujenga taifa!
Hao kwan wanatumia vingamuzi bila umem??
 
Autonomous --- it leads itself automatically.
AM1hnY.jpg
 
LUKU
54150429402
990032123218222765
50.6KWH

6738 2900 6264 6766 3732

Cost 14,754.10
VAT 18% 2,655.74
EWURA 1% 147.54
REA 3% 442.62
Debt Collected 2,000.00
TOTAL 20,000.00
Hamia urundi
 
Unit moja inauzwa Euro zaidi ya 30. Utalinganiasha na Tz?
Usibishe kitu ambacho hujui, uliza.



Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mkuu acha uongo tafadhali, unaijua euro 30 kweli? umekaa nchi gani hiyo ya ulaya? tumeishi huko na unapikia umeme wakati wa winter lazima uwashe heater muda mwingi ukiwa ndani, bado friji, microwave, washing machine n.k. Please acha uongo. Kule mbali ya per capital income yao kuwa juu kwa nchi nyingi bado umeme ni bei rahisi kulinganisha na huku kwetu. Yaani unaongelea unit moja sawa na takribani Tsh 70,000. Mungu anakuona mkuu
 
Marehemu Magufuli akiwa hai alikuwa anasema anawapigania wanyonge, mkawa mnamcheka na kumdharau huku mkimkebehi kwa kila namna.

Alipoapishwa huyo Madam wenu mkaanza kushangilia na kumsifia kila siku. Sasa hivi amefikisha miezi 5 tu mmeanza kuisoma namba na bado ana miaka 4 na miezi 7 ya kukaa Ikulu.

Magufuli aliwaambia "mtamkumbuka".

Au nasema uongo ndugu zangu [emoji23][emoji23][emoji23]
Haki nammiss huyu mzee na anisamehe kwa mawazo yangu mabaya kwake[emoji22][emoji22]

I love u JPM[emoji8][emoji8]
 
Tupige kelele na hao wanaojiita waheshimiwa wachangie maendeleo huu ni upuuzi . Otherwise
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAAAAA. 📣
 
Back
Top Bottom