Nashindwa kuelewa, hapa kuna upendo kweli au napotezewa muda?

Hahaha
 
Jiongeze hakupendi ana mtu mwingine anae mpenda
 
Eti sinimeambiwa kuwa mimi nawewe eti ni ID MOJA . .

MBILI kuwa single mie single nikiwa ready namingle tu na kamtu hadi nipate waluwa serious na.mie
Nani kasema hii ID yako, hongera upo vizuri kumbe
 
Sasa Mama Ndege vijana wenzio hautuoni au dharau ?
Vijana wanaokuja kwangu mara nyingi huwa ni waongo na wana mambo mengi na ujinga mwingi ndiyo maana nikasema nijaribu kwa huyu aliyenizidi sana pengine tutafika mbali.
 
Mkuu mwanzoni nilikuwa navumilia na kuomba misamaha kila linapotokea jambo la kumkwaza mwenzangu lakini naona kwasasa hii hali imezidi sitaweza tena
 
Dada achana na huyo mwanaume haraka sana, huyo siyo mwanaume wa Ndoa hilo Bomu hilo. Tena ajabu hata dhamira yako mwenyewe imeshakupa wasiwasi na kukutuma kuachana naye. Unaogopa kumwacha??
Itakucost,!!! though inauma kwa sasa kumwacha lakini ni vema ukafanya maamuzi hayo sasa kwa masilahi mapana ya huko mbele.
 
🤣🤣🤣🤣 kalast born nini?

Sasa wewe unauliza maswali uliyo na majibu yake!! Kiwanja tayari kina mgogoro hicho.
Aliniambia huyo mama mtoto wake alimsaliti na kwasasa anaishi na mwanaume mwingine sijui kama alikuwa ananidanganya au kweli
 
Asante sana nitafanya hivyo, njia ipi ni sahihi sasa ya kumwambia au ninyamaze tu atajiongeza mwenyewe?
 
Ww c ndo binti Sayuni? Kama ndiye naomba nije PM
 
Asante sana nitafanya hivyo, njia ipi ni sahihi sasa ya kumwambia au ninyamaze tu atajiongeza mwenyewe?
Mianaume ya hovyo hovyo kama hiyo kuachwa huwa inaachwa kimya kimya! Ila uwe mwangalifu tu siku hizi yanawachoma na magunia ya mkaa. Ukiamua kuachana naye hata akikubembeleza namna gani usikubali kwenda kwake tena wala kurudiana naye!
 
Huyu ambaye hajala mzigo ndiyo atafanya juhudi amuoe huyo msichana haraka
 
Mianaume ya hovyo hovyo kama hiyo kuachwa huwa inaachwa kimya kimya! Ila uwe mwangalifu tu siku hizi yanawachoma na magunia ya mkaa. Ukiamua kuachana naye hata akikubembeleza namna gani usikubali kwenda kwake tena wala kurudiana naye!
Sitarudi nyuma hata kidogo mimi huwa nikishaamua na kufanya maamuzi nasimamiaga maamuzi yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…