Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,647
- 23,282
Hahaha na wote huwa unawapea tamu🤣🤣🤣Yaani kila baada ya miezi 6 na penzi jipya nimechokaa😂😂
Hahaha na wote huwa unawapea tamu🤣🤣🤣Yaani kila baada ya miezi 6 na penzi jipya nimechokaa😂😂
Aaah mbona ni hatari ivooo,, jitahidi kuogea maji ya chumvi ya mawe kupunguza nuksi hizo sasa😂😂😂😂Ni kweli mkuu mkuu.. sema kuna vingine napunguza maana ni aibu 😂
Asante kwa ushauri wako mkuu1. Huyo jamaa bado anakupenda na wewe unampenda.
2. Mmekutana visirani wawili ila angalau wewe upo nyuma kidogo.
3. Wewe ndiye ulitegemea ndoa kwake wakati jamaa amekufanya kipoozeo.
4. Bado hujamjua jamaa anataka nini na wewe ufanye nini kuendana naye...
SULUHISHO LA YOTE.
TUBU DHAMBI ZA UZINZI, ACHA MAZOEA NA WANAUME WAKORA, USIRUHUSU MWILI WAKO UTUMIKE TENA KABLA YA NDOA
Tatizo washauri hamuendi direct sasa hapa mimi nishavurugwaa hata sielewii nini nifanya 🥹
Ni heri nimemsanukia mapemaYaah hiyo ndio dalili kuu kwa mtu asiyekupenda anashindwa kuwa mvumilivu hata kwa mambo madogo.
Hapana sio wote mama tangia mwanaume wangu wa ukweli akufe nimekuwa na wawili tu na ndio hao huyu mwenye ananichunia tulikutana last year na niliemfumaniaga pia last year 🥹🥹🥹Hahaha na wote huwa unawapea tamu🤣🤣🤣
Asante mkuuSasa kuna vitu huwa vinanikosesha amani mno, kwanza huyu mwenzangu unaweza ukaongea tu kitu cha tofauti kinaweza kuwa kidogo tu lakini atakishikilia na kukufanya ujione umekosea sana, hapo utaanza kuomba na misamaha ya kutosha. Lakini yeye ikitokea amekosea atalipindisha hilo kosa hadi lisionekane kama ni kosa.
Run
Daah au kwasababu napost memez😂😂😂Useful person- MTU wa manufaa ambaye unakuwa nae kwa ajili ya jambo Fulani Ila ikitokea hayupo unaweza kutafuta mbadala wake
Important person - MTU wa muhimu ambaye unamuhitaji kila wakati .
Unapokuwa na MTU unaweza kuwa useful au ukawa important
Endapo ukiwa important he will never leave you
Ila ukiwa useful he can leave you anytime.
Mfano Jay z alipokutana na Beyonce aligundua Beyonce she is very talented , she is very smart
So Jay z alijua kuwa if I can dump her I dump money , I dump wife materials , I dump the mother of my kids .
So make sure in life unakuwa important person hakuna MTU atakuacha Ila utaacha everyday make sure you have something special to put on the table.
Nadhani haukunielewa vizuri kuhusu mifano yangu.Hakuna atakayejinyima kumuoa huyo msichana tena maana kashazalishwa, kwa mtazamo wangu.
😂😂😂 hakuna cha nuksi wala niniAaah mbona ni hatari ivooo,, jitahidi kuogea maji ya chumvi ya mawe kupunguza nuksi hizo sasa😂😂😂😂
Aaaah we mama wewe mbona unapitia msoto ivo,pole kwa kuondokewa na uliyempenda, maana maumivu yako hayabebekiHapana sio wote mama tangia mwanaume wangu wa ukweli akufe nimekuwa na wawili tu na ndio hao huyu mwenye ananichunia tulikutana last year na niliemfumaniaga pia last year 🥹🥹🥹
Kwanza MAHUSIANO sio utumwa ni nyongeza ya furaha,mhusika hata akiwa kilema nenda nae hivyo hivyo,mambo ya kuwekeana wigo ni low key,kwanza kabla ya kelele jiulize jinsi single mother na father wanavyopambana kuweka mambo sawa,hata kitu cha ajabu kibadirishe kiwe positive ilimradi uwe comfortable.Usiishi Kama uko visiwani,jitahidi kupambania fursa na furaha, we live once.Hakika Mkuu vijana wa sasa teknolojia imeharibu mambo .
They believe love is about call and sms
Kumbe nyumbu flani tu, OKTOBA TUNATIKI SAMIANRNE
Habari za muda mrefu wana jukwaa, mimi msichana, niko kwenye mahusiano na mwanaume amenizidi miaka 15, yeye ana mtoto mmoja mimi sina.
Mimi nipo Dar, yeye yupo mkoani, tulipoanza mahusiano nilijua kwakuwa ni mtu mzima pengine, tutaenda sawa kwani na mimi huwa sipendi mambo ya hovyo. Lakini pia nilijua anaweza kuwa amechoka kukaa mwenyewe hivyo atanioa haraka tu (lakini hii haikuwa dhamira yangu kubwa)
Sasa kuna vitu huwa vinanikosesha amani mno, kwanza huyu mwenzangu unaweza ukaongea tu kitu cha tofauti kinaweza kuwa kidogo tu lakini atakishikilia na kukufanya ujione umekosea sana, hapo utaanza kuomba na misamaha ya kutosha. Lakini yeye ikitokea amekosea atalipindisha hilo kosa hadi lisionekane kama ni kosa.
Kama wiki kadhaa zimepita aliniambia ameenda kwao kusalimia, wakati yupo njiani tulikuwa tunawasiliana hadi anafika, sasa kama siku mbili mbele akaniambia ile siku ameenda alimpitia na mtoto wake ameenda naye, nikamuuliza mbona hukuniambia, akaniambia mambo mengi alipitiwa mh! Nikashangaa.
Wakati yupo huko huko akanipigia akaniambia yupo maeneo ya stendi, sasa sikusikia vizuri kumbe alisema kuna mzigo ameufuata nikamuuliza tena umesema umefata mzigo, akanijibu " hivi maswali yako unayoulizaga huwa unafikiriaga kweli" guys hii kauli iliniuma yaani ameniona mimi sina akili, nikamwambia haya baadae, nikakata simu nikatafakari kama siku tatu nikampigia maana na yeye alinikaushia, hakupokea simu, ila huku status whatsapp anapost, hizi si ni dharau jamani. Na yeye kakaa kama siku mbili tatu hivi akanitumia msg whatsapp " habari yako" na mimi sikuijibu ile siku nijibu "salama" after two days, akajibu kwa kureact akakausha, leo naona kanicheki normal, mimi nikampigia hajapokea.
Nashindwa kuelewa ni upendo gani huo wa kumkasirikia mpenzi wako, kwa vitu vidogo vidogo ambavyo mnaweza kueleweshana tu, wakati mwingine unaweza kukuta usiku ikatokea mmegombana hivi ukimpigia ili muongee muyamalize hapokei kabisa ila msg anajibu anasema hajisikii kuongea, hatakagi suluhisho, sasa najiuliza kama huku mwanzoni yupo hivi je ikitokea tukaingia kwenye ndoa huko si ndo atakuwa akikasirika na matumizi anasusa kutoa kabisa🤕
I'm not perfect, hata mimi nina madhaifu na mapungufu yangu, lakini huwa nina amini kwenye kurekebishana ila mwenzangu naona hilo swala hataki kabisa, niliplay part yangu vya kutosha kujishusha nimejishusha sana misamaha nimeomba mingi mno ila kwa sasa moyo umechoka kuvumilia haya mambo, maisha yanipe stress bado na mapenzi tena yanipe stress si nitajifia na presha.
Naombeni ushauri wenu, wakubwa zangu.
Jisemee mwenyeweKumbe nyumbu flani tu, OKTOBA TUNATIKI SAMIA
Na kila napoukizwa lazima nimkumbuke aisee inaumiza sanaAaaah we mama wewe mbona unapitia msoto ivo,pole kwa kuondokewa na uliyempenda, maana maumivu yako hayabebeki
Then nimegundua wewe sio teachable shemeji Kazi anayoDaah au kwasababu napost memez😂😂😂
🤣🤣🤣Kama yule aloleta eti anadate na mwanaume ambaye alikotoka alikua anatoka hadi na mkwe wake,,,ila ikizid panaumaaaa😂😂😂 hakuna cha nuksi wala nini
Tangu nijue kuwa kuna watu wanapitia zaidi yangu nachukuliaga tu ni maisha
duuuh pole mamiiNa kila napoukizwa lazima nimkumbuke aisee inaumiza sana
Hongera! Basi mvumilie!Mimi napendaga walionizidi umri nahisi wanakuwa wanajitambua na wako straight