Nashindwa kuelewa, hapa kuna upendo kweli au napotezewa muda?

Sijawahi kuumizwa wala kuumiza I'm very genius and you can't shutdown genius.

Hayo mambo huwa nayasikia kwa watu .

Kwanza Mimi ni MTU positive Sana mwenye upendo halisi , nikisema upendo halisi nampenda MTU not only for sex or anything nampenda kwakuwa najua ni binadamu anahitaji kupendwa. So akiniacha yeye ndo anakuwa amepoteza so why niumie na kitu nachojua hapa duniani good people are very rare

So ni ngumu Sana Mimi nikutane na watu wasioeleweka na kujenga nao bond.
Kidooogo umedanganya!

Na kama haujadanganya, niishie kusema haujawahi kuingia kwenye dhoruba za kimapenzi, kwa hiyo nyanyua mikono yako juu na umshukuru Manani kwa kukuepusha na balaa la jakamoyo.

Penzi halina 'jinias' wala shujaa na wa mwisho ama dhalili aweza kuwa ndiye champion katika tasnia ya mapenzi.
 
Atakuwa na Roho mbaya sana
Kwani wengine wanafanyaje wanapata realy love au sisi wengine tumewekwa kama mfano wa kuteswq na mapenzi 😢😭
Punguzeni pupa kwenye mapenzi 😹😹
Mwanaume ukiwa unamjali sana anakuona huna pa kwenda na hujiamini km uko naye..!!

Wewe ukipata mpenzi acha kuwaza kumfurahisha ili umteke, acha kupatikana muda wote..!!

Sasa km wewe mwanaume hakupi pesa wala hakujali ila akitaka kitumbua chap unampelekea bila kusita..!! Si uchizi huo 😹😹

Unaacha kumuomba pesa kwa kujua atakupenda kumbe mwenzio anaona kajipatia bwambwa la bure 🤣😹
Anajua akikutajia ndoa unaloa anachomeka anakojoa anapita vile..!!
Wanaume wanataka kitu kisichopatikana kirahisi..!!
 
Mkuu huyu hata ndoa hataji itakuwa tu nimerogwa sio mimi huyu 🥹
 
NRNE
Habari za muda mrefu wana jukwaa, mimi msichana, niko kwenye mahusiano na mwanaume amenizidi miaka 15, yeye ana mtoto mmoja mimi sina.

Mimi nipo Dar, yeye yupo mkoani, tulipoanza mahusiano nilijua kwakuwa ni mtu mzima pengine, tutaenda sawa kwani na mimi huwa sipendi mambo ya hovyo. Lakini pia nilijua anaweza kuwa amechoka kukaa mwenyewe hivyo atanioa haraka tu (lakini hii haikuwa dhamira yangu kubwa)

Sasa kuna vitu huwa vinanikosesha amani mno, kwanza huyu mwenzangu unaweza ukaongea tu kitu cha tofauti kinaweza kuwa kidogo tu lakini atakishikilia na kukufanya ujione umekosea sana, hapo utaanza kuomba na misamaha ya kutosha. Lakini yeye ikitokea amekosea atalipindisha hilo kosa hadi lisionekane kama ni kosa.

Kama wiki kadhaa zimepita aliniambia ameenda kwao kusalimia, wakati yupo njiani tulikuwa tunawasiliana hadi anafika, sasa kama siku mbili mbele akaniambia ile siku ameenda alimpitia na mtoto wake ameenda naye, nikamuuliza mbona hukuniambia, akaniambia mambo mengi alipitiwa mh! Nikashangaa.

Wakati yupo huko huko akanipigia akaniambia yupo maeneo ya stendi, sasa sikusikia vizuri kumbe alisema kuna mzigo ameufuata nikamuuliza tena umesema umefata mzigo, akanijibu " hivi maswali yako unayoulizaga huwa unafikiriaga kweli" guys hii kauli iliniuma yaani ameniona mimi sina akili, nikamwambia haya baadae, nikakata simu nikatafakari kama siku tatu nikampigia maana na yeye alinikaushia, hakupokea simu, ila huku status whatsapp anapost, hizi si ni dharau jamani. Na yeye kakaa kama siku mbili tatu hivi akanitumia msg whatsapp " habari yako" na mimi sikuijibu ile siku nijibu "salama" after two days, akajibu kwa kureact akakausha, leo naona kanicheki normal, mimi nikampigia hajapokea.

Nashindwa kuelewa ni upendo gani huo wa kumkasirikia mpenzi wako, kwa vitu vidogo vidogo ambavyo mnaweza kueleweshana tu, wakati mwingine unaweza kukuta usiku ikatokea mmegombana hivi ukimpigia ili muongee muyamalize hapokei kabisa ila msg anajibu anasema hajisikii kuongea, hatakagi suluhisho, sasa najiuliza kama huku mwanzoni yupo hivi je ikitokea tukaingia kwenye ndoa huko si ndo atakuwa akikasirika na matumizi anasusa kutoa kabisa🤕

I'm not perfect, hata mimi nina madhaifu na mapungufu yangu, lakini huwa nina amini kwenye kurekebishana ila mwenzangu naona hilo swala hataki kabisa, niliplay part yangu vya kutosha kujishusha nimejishusha sana misamaha nimeomba mingi mno ila kwa sasa moyo umechoka kuvumilia haya mambo, maisha yanipe stress bado na mapenzi tena yanipe stress si nitajifia na presha.

Naombeni ushauri wenu, wakubwa zangu.
Mpotezeee
 
Mbona kama unajitahidi kuhakikisha unalipiza kila anachokufanyia wrong? Kwa hakika wanawake mngejua kuwa Siri ya nguvu zenu imejificha kwenye utii na unyonge msingekuwa mnaachwa achwa walau kuchezewa chezewa!
Mimi nilifanya majaribio mengi sana kwa wanawake kadhaa, mwisho wa siku wengi walikuwa fake!(Wasiofaa kuwa wake)

Nilipoona mambo yanakuwa mengi,niliamua kuungana na team kataa ndoa ili nisiumize kichwa kiviiile kwa ajili ya jitu zima,hata bikra halina!
 
Hakika unazingatia haya mambo

Being useful
Being important.

Unabidi kuhakisha una vitu vingi vya kumfanya MTU Ku-keep in touch na wewe kuliko ambavyo yeye anavyo.

Wanaume wapo very logic huwa hawakurupuki ukiona anagoma kukuoa au kukupa VVIP seat you need to know kuna Mambo anayaona kwako ambayo hayampendezi.
Mkuu sijui hujanielewa
Hivyo vyote anaweza kuviona endapo tutakuwa na mawasiliano na ukaribu sasa kama mtu ananiweka mbali atajuaje kama nina hizo vitu ww mtu hamuonani zaidi ya miezi
Haweki muda kwa ajili yangu atlest angekuwa hata ana muda angeona mengi sasa mawasiliano ya manati
 
Mbona kama unajitahidi kuhakikisha unalipiza kila anachokufanyia wrong? Kwa hakika wanawake mngejua kuwa Siri ya nguvu zenu imejificha kwenye utii na unyonge msingekuwa mnaachwa achwa walau kuchezewa chezewa!
Mimi nilifanya majaribio mengi sana kwa wanawake kadhaa, mwisho wa siku wengi walikuwa fake!(Wasiofaa kuwa wake)

Nilipoona mambo yanakuwa mengi,niliamua kuungana na team kataa ndoa ili nisiumize kichwa kiviiile kwa ajili ya jitu zima,hata bikra halina!
Mwanaume akikupenda amekupendaa na mtaenda sambamba
Lazima efforts zifanane na hata kama hazifanani basi zikaribiane sasa kama Hakuna hiyo hata ukijifanya mtii kiasi gani unaachwaa
 
Back
Top Bottom