Nashindwa kuelewa, hapa kuna upendo kweli au napotezewa muda?

Kiufupi hakupendi ingawa hujasema ya upande wako.
Sometimes aneshaona wewe ni wale wanawake wenye kupenda mashindanobkwa hiyo yupo tu kukupotezea muda wako
 
Huyo single faza hana mapenzi na wewe anakutumia sababu kakuona unaitaka ndoa kwa nguvu..!!
Na kwenye hilo penzi wewe ndo unajitoa sana jipe muda wa kujipenda mwenyewe. Kama ndoa itajileta yenyewe automatically sio kwa kuforce hata na furushi ili tu uitwe Mrs furushi..!! 😹😹
Umesema kweli ila mimi nia yangu ilikuwa nipate wa kutulia naye na kufurahia naye maisha ila huyu naona napata mastress tu
 
Ni heri aniambie sasa kuliko kunipotezea muda hivi
 
Mkuu kumbuka mwanaume na mwanamke wapo tofauti.

Kosa lako unataka mambo anayotakiwa kuyafanya mwanamke ayafanye mwanaume.

Mwanume kikawaida upendo wetu huwa haupo kwa styles ya hivyo .

Mwanaume anapenda scarcity Sana , kwakuwa unajua the guy is safe na wewe upo safe hiyo pekee inatosha Ku-keep love
Mkuu unaficha ficha tu
Huyu ana mwanamke wake anaempenda yeye kwangu anapita tu
uzuri huyu sio wa kwanza ku date nae nishadate na mtu na alinipenda seriously na alikuwa bize na kazi zake kuliko huyu but lazima anicheck ni vile tu Mungu alimpenda zaidi

Japo sisemi kwamba kupendwa ni kutafutwa sana but angalau uoneshe kwamba unathamini ulichonacho
Mwanamke anahitaji attention ili aji feel anapendwa
 
Tengeneza kitu kinaitwa scarcity hii itakusaidia Sana in life and not in relationship Ila hata kwa maisha.

Unachobidi kufanya ni kuhakikisha unaitawala akili ya MTU na hisia Ila sio call ,sms n.k

There's so many ways unaweza kutumia .

Unajua nyie young generation mambo mengi hamjifunzi na inamfanya MTU apoteze excitement kwako mapema.
Kama njia zipi naweza kutumia
 
Je unajua kwanini wewe hakupendi Sana na anampenda Sana huyo mwingine ?
 
😄😄😄Uzuri ni kwamba kila mmoja anapitia changamoto zake kwaiyo aah wengine tamu wengine ndohivooo akirud haya akilala huko sawa
utamu wa ngoma ingia ucheze bwana, huwezi kata tamaa kupambana kwa kushindwa kwa mwingine 😌,wanateseka au wanafurahia watajua wenyewe, sie tupo nyuma yao
 
Tengeneza kitu kinaitwa scarcity hii itakusaidia Sana in life and not in relationship Ila hata kwa maisha.

Unachobidi kufanya ni kuhakikisha unaitawala akili ya MTU na hisia Ila sio call ,sms n.k

There's so many ways unaweza kutumia .

Unajua nyie young generation mambo mengi hamjifunzi na inamfanya MTU apoteze excitement kwako mapema.
Zamani hata miaka mitatu mtu amekausha na wala Hakuna neno,ukionekana jogoo anachinjwa na mengine kibao na bado hakuna shida
 
Umesema kweli ila mimi nia yangu ilikuwa nipate wa kutulia naye na kufurahia naye maisha ila huyu naona napata mastress tu
Hapo ulipojiingiza sio sahihi na si ajabu anaendelea na baby mama wake wewe umewekwa mtu kati unalambwa kisogo…!!

Mapenzi na single faza mtihani, ataanza kukuchambua wewe na baby mama wake..!!
Kila utakachofanya anakuweka kwenye mzani, muhimu umeona red flags mapema jiondokee tu kipenzi..!!
 
Huyo single faza hana mapenzi na wewe anakutumia sababu kakuona unaitaka ndoa kwa nguvu..!!
Na kwenye hilo penzi wewe ndo unajitoa sana jipe muda wa kujipenda mwenyewe. Kama ndoa itajileta yenyewe automatically sio kwa kuforce hata na furushi ili tu uitwe Mrs furushi..!! 😹😹
Dr Haya kasema tuforce et tukabie juu kwa juu tupate ndoa
 
Back
Top Bottom