Nashindwa kuelewa, hapa kuna upendo kweli au napotezewa muda?

Nashindwa kuelewa, hapa kuna upendo kweli au napotezewa muda?

Mtoto anaishi na mzazi mwenzie na baba mwingine kwa maelezo yake aliyonipa ni kwamba huyo mwanamke ana mwanaume anaishi naye
Mapenzi huwa sio kitu cha kushauriwa kabisa.....we jipe muda kaa tafakari, ukiona mnawezana hivyo hivyo na mapicha picha yake penzi liendelee.

ukiona maji ya shingo unajikataa kimya kimya unamuacha penzini peke ake anadate mwenyewe.
 
Nashindwa kuvumilia maana furaha imekuwa ni mara chache sana kwenye haya mahusiano na siku hizi hata baadhi ya vitu amepunguza unaweza ukamwambia kitu akafanya nusu akasema atamalizia kesho ndiyo imetoka hiyo na unakuta ni jambo la muhimu

Unabidi kuvumilia unafikiri unaweza kumpata MTU amabaye yupo perfect


Kwa sasa kupata ndoa sio jambo jepesi Mkuu.

Jifunze kwa zuchu .
 
Mapenzi huwa sio kitu cha kushauriwa kabisa.....we jipe muda kaa tafakari, ukiona mnawezana hivyo hivyo na mapicha picha yake penzi liendelee.

ukiona maji ya shingo unajikataa kimya kimya unamuacha penzini peke ake anadate mwenyewe.
Asante mkuu nitatafakari juu ya hili ila kuendelea tena siyo rahisi hapa
 
niliambiwa ivo pia,tena nkaambiwa anawatoto kabisa,,,ila paaaaah baby mama karudi weeeee stuka mdada, ingawa hayashauriwiiii
Kuna siku nilimwambia asije kuwa ananizunguka akawa bado ana mahusiano na mama wa huyo mtoto akakasirika
 
Kwa maelezo yako, wewe Kwake ni Second Option..
Vipi kwenye kula mzigo, anatoa ushirikiano.?
Mkuu inaweza kupita hata miezi mitatu hatujakutana, hii inanipaga maswali japo ni kweli anakuwaga bize na kazi ila ananitisha sana
 
Unabidi kuvumilia unafikiri unaweza kumpata MTU amabaye yupo perfect


Kwa sasa kupata ndoa sio jambo jepesi Mkuu.

Jifunze kwa zuchu .
Kupata ndoa siyo kufanikiwa unaweza kuipata na ukanyanyasika humo ndani, kama mapicha picha yanaanza mapema hivi huko ndani itakuwaje, hapana sitaweza kuvumilia manyanyaso
 
Wanaume kwa sasa wapo wachache wanaokuambia piga chini wanakudanganya .

Jifunze kwa zuchu jinsi alivyomganda diamond hadi akaolewa .

Pia if I'm not mistaken upo late 20s so kwanini usivumilie zama hizi ndoa niyakukabia juu kwa juu .

Keep show up
Kukabia juu kwa juu si ndio mpk mwanaume nae aoneshe interested unaweza kujikuta mwanamke unapambana ila mwanaume anakuweka mbali kila siku anasubiri apate genye ndio akutafute

Haya atakabiaje na jamaa wanaishi mikoa tofauti? Hiyo inawafaa walio karibu tu
 
Mkuu inaweza kupita hata miezi mitatu hatujakutana, hii inanipaga maswali japo ni kweli anakuwaga bize na kazi ila ananitisha sana
Pole sana.
Huenda Kuna mwenzako anamuweka bize..
 
Daah kumbe unaweza kujiona wewe ndio unateseka kumbe kuna wenzio😂😂😂
 
Kukabia juu kwa juu si ndio mpk mwanaume nae aoneshe interested unaweza kujikuta mwanamke unapambana ila mwanaume anakuweka mbali kila siku anasubiri apate genye ndio akutafute

Haya atakabiaje na jamaa wanaishi mikoa tofauti? Hiyo inawafaa walio karibu tu
Lazima u-Apply mbinu mbali mbali ili kufanikisha lengo Fulani.

Jifunzeni kwa zuchu
 
Back
Top Bottom