Nashindwa kuelewa, hapa kuna upendo kweli au napotezewa muda?

Nashindwa kuelewa, hapa kuna upendo kweli au napotezewa muda?

Pole sana Mama Ndege hapo hakuna upendo wala nini yaani huyo Jamaa atakuharibia tu future yako na inaonekana wewe ndio unayejitoa sana kwake na umempenda kupitiliza na ndio maana unaumia.

Huyo jamaa yako ana mademu wengine ambako anaumia kihisia kama vile wewe unavyoumia kwake. Na akipigwa matukio ya kuumiza zaidi huwa anakuja kwako kukupetipeti na wewe kwa sababu umempenda kupitiliza huwa unampokea lakini baada ya muda anakuanzishia vitimbwi na kuanza kukusirikia.

La kukushauri Jipende sana mwenyewe, Kula vizuri, vaa vizuri na ufanye kazi zako kwa bidii. Acha kuhangaika na mtu anayekugeuza kama tambala la deki.

Hata kama huwa unamnunulia vizawadi kama kunogesha upendo Acha na usifanye hivyo. Usimpe nafasi mtu mwenye hizo tabia.
Inawezekana ikawa hivyo maana kama unakuta siku tukikutana mimi kwangu msg ikiingia atataka aione ila kwake yeye hakuonyeshi hata kidogo
 
Hata mimi nataka nifanye hivyo akinitafuta niwe najibu tu normal, na hivi tuko mbali huku mimi naangalia zangu ustaarabu mwingine yeye aendelee kununa
Yaani siku hzi sijui imekuwaje mtu anakutongoza yeye halafu anataka ionekane kama umemtongoza wewe 🥹
 
Aisee sio kweli
Mimi hawa niao kuambia nimekutana nao sijawahi kuomba hela hata simuni labda waniombe wao

Na jambo zuri nina kazi na sina majukumu nakaa kwetu Silipi kodi pesa yangu nafanyia mambo yangu so sitegemei pesa ya mwanaume

Sema singo faza ni pasua kichwa
Ila nachojua hauwezi ukawa MTU positive ambaye Una upendo then ukakutana na wanaume ambao hawaeleweki au wanawake ambao hawaeleweki.

Mara nyingi watu hupata watu wanaofanana mitazamo ,hisia na ufahamu .

Mfano Mimi lifestyle yangu siwezi kutembea na Kuku wa kienyeji na hata hao Kuku wa kienyeji wanalijua hilo .

So you get what you deserve

Na ukiona umepata wrong person basi ujue jukumu lako nikumbadilish ili muendane .

But all I know watu wamekuwa wakiokota tunda jalalani na wakimaliza wanalalamika kuwa limeoza.
 
Ana umri gani kwanza huyo unayemshauri Mkuu? 😂😂😂
Guess yupo kwenye 22-23 huyo unampa makande badala ya uji
 
Atakupa laana shauri yako,hebu muache huyo kibabu njoo kwangu kijana mwenzio
 
Yaani siku hzi sijui imekuwaje mtu anakutongoza yeye halafu anataka ionekane kama umemtongoza wewe 🥹
Inashangaza sana, lakini mimi huwa najibalance sana kwenye mawasiliano siku hizi nikipiga simu moja asipopokea basi, nikituma msg 1 asipojibu basi hata akikaa wiki aje kuijibu ni yeye tu, mimi nakuwa zangu bize na kazi kama sina kazi ntaingia humu JF nisome nyuzi za watu nicheke siku iishe yale mambo ya kupata stress kisa hajajibu hapana kwakweli, hivi alivyonuna ameshangaa sana sijamtafuta kumbembeleza
 
Ila nachojua hauwezi ukawa MTU positive ambaye Una upendo then ukakutana na wanaume ambao hawaeleweki au wanawake ambao hawaeleweki.

Mara nyingi watu hupata watu wanaofanana mitazamo ,hisia na ufahamu .

Mfano Mimi lifestyle yangu siwezi kutembea na Kuku wa kienyeji na hata hao Kuku wa kienyeji wanalijua hilo .

So you get what you deserve

Na ukiona umepata wrong person basi ujue jukumu lako nikumbadilish ili muendane .

But all I know watu wamekuwa wakiokota tunda jalalani na wakimaliza wanalalamika kuwa limeoza.
Mkuu hawa naopata sio wakufanana na mimi
Mtu anakwambia kabisaa yaani unastahili kabisa una kila sababu za mimi kukupenda na unanifanya nikupende kila siku halafu ghafla unafumania ka sms kutoka kwa my love 😭🤧🤧
Jamani natamani kuyaongea kila ninayopitia wanaume mnatuumiza sana mioyo mtu umetulia unasema Ngoja nitulie hapa mara mtu anakuletea mapichapicha
 
Hivi mfano unakutana na mtu nyie mnawasilianaga WhatsApp tu Hakuna normal calls wala sms ina maana usipokuwa na bando ndio hamuongei hivyo ukimuuliza why so anakwambia I hate calls

Mpnz wako kusikia sauti yake ni mpk mtake kuonana tena mpo mikoa tofauti

Ndugu yangu hapo nguvu ya kukabia kwa juu unaipata wapi
Even me I hate call 90% of my communication natumia sms kwakuwa Mimi I'm introvert na I'm very comfortable. Kuandika kuliko kuongea .

So ikiwa anasema hivyo yupo sahihi.

Jifunze kumuelewa MTU utafurahia
 
Ila nachojua hauwezi ukawa MTU positive ambaye Una upendo then ukakutana na wanaume ambao hawaeleweki au wanawake ambao hawaeleweki.

Mara nyingi watu hupata watu wanaofanana mitazamo ,hisia na ufahamu .

Mfano Mimi lifestyle yangu siwezi kutembea na Kuku wa kienyeji na hata hao Kuku wa kienyeji wanalijua hilo .

So you get what you deserve

Na ukiona umepata wrong person basi ujue jukumu lako nikumbadilish ili muendane .

But all I know watu wamekuwa wakiokota tunda jalalani na wakimaliza wanalalamika kuwa limeoza.
Mkuu wewe hujawahi kuumizwa?
 
Inashangaza sana, lakini mimi huwa najibalance sana kwenye mawasiliano siku hizi nikipiga simu moja asipopokea basi, nikituma msg 1 asipojibu basi hata akikaa wiki aje kuijibu ni yeye tu, mimi nakuwa zangu bize na kazi kama sina kazi ntaingia humu JF nisome nyuzi za watu nicheke siku iishe yale mambo ya kupata stress kisa hajajibu hapana kwakweli, hivi alivyonuna ameshangaa sana sijamtafuta kumbembeleza
Kweli situation za mahusiano zinafanana
Mimi wangu ndio yuko hivyo tangu najuana nae yaani hata mkiachana now hakuulizi hata kama umefika salama atakaa hata wiki ndio anakutafuta halafu anajifanya mbona umenichunia

Natamani ningekuwa mchawii angenikomaa pumbavu zake 😫😫
 
Mkuu hawa naopata sio wakufanana na mimi
Mtu anakwambia kabisaa yaani unastahili kabisa una kila sababu za mimi kukupenda na unanifanya nikupende kila siku halafu ghafla unafumania ka sms kutoka kwa my love 😭🤧🤧
Jamani natamani kuyaongea kila ninayopitia wanaume mnatuumiza sana mioyo mtu umetulia unasema Ngoja nitulie hapa mara mtu anakuletea mapichapicha
Mkuu wewe jitahidi kuacha negativity lazima una tatizo .

Hauwezi kuwa MTU mzuri then ukapata watu wabaya hiyo ngumu not only soulmate even friends
 
Mnawezaje kuvumilia mpenzi mwenye mapungufu makubwa kiasi hiki mimi nisingeweza fasta ningepiga chini ujinga sitaki.
Tena hapo kuna mengine tu sijayasema, nilikuwa navumilia nikaona atabadilika ila naona hakuna mabadiliko kabisa
 
NRNE
Habari za muda mrefu wana jukwaa, mimi msichana, niko kwenye mahusiano na mwanaume amenizidi miaka 15, yeye ana mtoto mmoja mimi sina.

Mimi nipo Dar, yeye yupo mkoani, tulipoanza mahusiano nilijua kwakuwa ni mtu mzima pengine, tutaenda sawa kwani na mimi huwa sipendi mambo ya hovyo. Lakini pia nilijua anaweza kuwa amechoka kukaa mwenyewe hivyo atanioa haraka tu (lakini hii haikuwa dhamira yangu kubwa)

Sasa kuna vitu huwa vinanikosesha amani mno, kwanza huyu mwenzangu unaweza ukaongea tu kitu cha tofauti kinaweza kuwa kidogo tu lakini atakishikilia na kukufanya ujione umekosea sana, hapo utaanza kuomba na misamaha ya kutosha. Lakini yeye ikitokea amekosea atalipindisha hilo kosa hadi lisionekane kama ni kosa.

Kama wiki kadhaa zimepita aliniambia ameenda kwao kusalimia, wakati yupo njiani tulikuwa tunawasiliana hadi anafika, sasa kama siku mbili mbele akaniambia ile siku ameenda alimpitia na mtoto wake ameenda naye, nikamuuliza mbona hukuniambia, akaniambia mambo mengi alipitiwa mh! Nikashangaa.

Wakati yupo huko huko akanipigia akaniambia yupo maeneo ya stendi, sasa sikusikia vizuri kumbe alisema kuna mzigo ameufuata nikamuuliza tena umesema umefata mzigo, akanijibu " hivi maswali yako unayoulizaga huwa unafikiriaga kweli" guys hii kauli iliniuma yaani ameniona mimi sina akili, nikamwambia haya baadae, nikakata simu nikatafakari kama siku tatu nikampigia maana na yeye alinikaushia, hakupokea simu, ila huku status whatsapp anapost, hizi si ni dharau jamani. Na yeye kakaa kama siku mbili tatu hivi akanitumia msg whatsapp " habari yako" na mimi sikuijibu ile siku nijibu "salama" after two days, akajibu kwa kureact akakausha, leo naona kanicheki normal, mimi nikampigia hajapokea.

Nashindwa kuelewa ni upendo gani huo wa kumkasirikia mpenzi wako, kwa vitu vidogo vidogo ambavyo mnaweza kueleweshana tu, wakati mwingine unaweza kukuta usiku ikatokea mmegombana hivi ukimpigia ili muongee muyamalize hapokei kabisa ila msg anajibu anasema hajisikii kuongea, hatakagi suluhisho, sasa najiuliza kama huku mwanzoni yupo hivi je ikitokea tukaingia kwenye ndoa huko si ndo atakuwa akikasirika na matumizi anasusa kutoa kabisa🤕

I'm not perfect, hata mimi nina madhaifu na mapungufu yangu, lakini huwa nina amini kwenye kurekebishana ila mwenzangu naona hilo swala hataki kabisa, niliplay part yangu vya kutosha kujishusha nimejishusha sana misamaha nimeomba mingi mno ila kwa sasa moyo umechoka kuvumilia haya mambo, maisha yanipe stress bado na mapenzi tena yanipe stress si nitajifia na presha.

Naombeni ushauri wenu, wakubwa zangu.
Eeerr tatizo kubwa sana hilo!

Mi'naingiza ushauri wangu kwako kwa njia ya maswali!

Hivi kwa nini wazee wetu wa zamani, wale waliobuni mila pamoja na desturi za jamii, tena zenye kufanana takribani makabila yote kwamba: ' ni mwiko wachumba kukaribiana, kuishi pamoja na kufanya mapenzi kabla ya ndoa?

Kama unajua maana yake basi nijibu ili tujadili tu majibu ya swali hili pekee, maana mwisho wa mjadala lazima tutapata majibu ya moja kwa moja kuhusu 'mtanziko' wako!

Lakini kama hujui, basi nitatengeneza swali jengine usiloweza kuumiza sana kichwa:
Natumia mfano wa vijana watatu:
Wa kwanza kampenda msichana kwa dhati, kaenda nyumbani kwa wazazi wa msichana huyo na kuchumbia, kakubaliwa, kapangiwa kiasi cha gharama za mahari, hana pesa kaondoka kwenda kufanya kazi kwa ajili ya kuja kutoa mahari ili amuoe huyo mchumba wake.

Wa pili kampenda msichana kwa dhati, kisha kaenda kwa wazazi na kuomba aishi na mchumba wake akimtunza kisha akikamilisha mambo flani flani pamoja na kukamilisha mahari aliyopangiwa, atalipa mahari hiyo na watafunga ndoa.

Wa tatu, ni kijana kampenda msichana kwa dhati kisha akaenda kwa wazazi kujitambulisha, kapangiwa kiasi cha mahari, lakini uchumi wake hohe hahe hana hizo pesa, kaamua kumrubuni huyo mchumba wakalala naye, mimba ikaingia na sasa mtoto kazaliwa tayari.

Je kati ya wachumba hao watatu, ni yupi anayeweza kujinyima hadi kulala njaa, ili kukusanya pesa ya mahari na kwenda kutimiza adhima yake ya kumuoa mchumba bila kuweka visingizio?

Naomba majibu ya mifano hii ili nitiririke kwa ufasaha zaidi na jibu la matendo unayofanyiwa na hawara yako yatapatikana menyewe bila mimi na wewe kuweka hisia zetu kutengeneza majibu hayo.
 
Even me I hate call 90% of my communication natumia sms kwakuwa Mimi I'm introvert na I'm very comfortable. Kuandika kuliko kuongea .

So ikiwa anasema hivyo yupo sahihi.

Jifunze kumuelewa MTU utafurahia
Sawa nimeshamuelewa lakini yeye ni mfanya biashara na Biashara zake anafanya sana online maana yake anaongea na kuchart na wateja.. kwaiyo wateja anaongea nao. Ila Mimi aaaah 😩
 
Kweli situation za mahusiano zinafanana
Mimi wangu ndio yuko hivyo tangu najuana nae yaani hata mkiachana now hakuulizi hata kama umefika salama atakaa hata wiki ndio anakutafuta halafu anajifanya mbona umenichunia

Natamani ningekuwa mchawii angenikomaa pumbavu zake 😫😫
Mimi huyu kwenye mawasiliano hana shida shida mkikwazana ndiyo hivyo anakukalia kimya siku tatu hakutafuti, kuna siku nilimwambia hutaki tuongee yakaisha nikiamka asubuhi nimefariki je utajisikiaje?
 
Back
Top Bottom