Nashindwa kuelewa, hapa kuna upendo kweli au napotezewa muda?

Inasikitisha sana mkuu 😂
 
Huyo jamaa yupo kama mimi

Hata mim wapenz wang huwa wanateseka sana kunizoea,hvyo mvumilie tu ndo kaubwa hvyo

Kwenye inshu ya kukaushiana ukiamua kukausha,kausha mazima mpaka aombe poo asipoomba njoo jf usake bwana mwingine
 
Mie nipo Dar Mama Ndege .. fimbo la mbali haiu nyoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…