Nashindwa kuelewa, hapa kuna upendo kweli au napotezewa muda?

Nilichelewa kuona tag yako Mjukuu, umri huu sisi Wazee hupenda Kulala mapema 🤗

Nimesoma kisa chako Kwa kurudia mara nyingi ili niweze kupata content ikiwemo baadhi ya maoni ya waliotangulia.

Kwa maoni yangu, huyo mwenzio (huyo mpenzi wako) ana tatizo la kisaikolojia.

Tatizo hilo limesababishwa na aidha mahusiano yake ya nyuma iwe Kumpoteza mpenzi wake waliyezaa naye watoto/mtoto iwe Kwa kuachana ama Kifo.

Bado ana machungu hayo

Pia inaonesha Kuna baadhi ya matendo yako ambayo unamfanyia katika kubebishana naye, yeye hayapendi.

Kuna baadhi ya sisi Wanaume hasa watu wazima, hujikuta hawapendi mambo ya kubebishana

Unakuta mtu akili yake imefocus kwenye hela na Watoto tu.


Kwa kuwa ndiyo kwanza mpo kwenye hatua za awali za mahusiano yenu, nashauri uwe huru kumweleza mwenzako kwamba anakukwaza anapokufanyia xyz

Hivyo ungemwomba abadirike

Peaneni muda zaidi wa kuweza kufahamiana naye

Mkifanya haraka kuingia Kwenye Ndoa na huyo mwenzio, utaishia kukumchukia na hatimaye kuanza kumsaliti Kwa kutokuwa na hisia naye kabisa
 
Asante babu kwa ushauri wako, ni kweli huyu mwenzangu alisalitiwa na huyo mzazi mwenzie kiasi kwamba aliwahi kuniambia sisi wanawake hatuaminiki.

Kuhusu kuongea naye Kuhusu mambo nisiyoyapenda huwa nikimwambia ananikasirikia, nikaamua niache tu naona ndiyo tabia yake hawezi kubadilika.

Kuhusu ndoa sidhani kama tutafika huko maana sioni kama ana hayo malengo na mimi pia sioni kuwa na amani kuingia kwenye ndoa na mtu wa aina hii
 


Mara nyingi huwa naandika kuna tofauti kubwa kati ya UPENDO na MAPENZI, watu wengi wa dunia hi wanachanganya hivi vitu viwili ambavyo ni very sensitive katika kuishi kwetu juu ya uso wa dunia hi


Mine sister MAPENZI lazima yatakupa stress tu hata kama ukikutana na padri au mchungaji au shehe au mtu yoyote ambaye utahisi ni sahihi na ukaanzisha nae mahusiano ya kimapenzi kamwe mwisho hauwezi kuwa mzuri lazima utakua mchungu tu na majuto na lawama na unaweza kuludi nyuma ukacheck mahusiano yako yaliyopita utapata picha kamilifu jinsi mahusiano ya kimapenzi yalivyo na mwisho mchungu

Hitimisho

PENZI likikosa msingi wake UPENDO, PENZI linakua ni very dangerous....!!! Simply UPENDO lazima uanze then MAPENZI ndio yafuate sasa watu wengi wa dunia hi wanaanza na mapenzi Harafu wanategemea Amani na furaha katika kuhusiana kwao kitu ambacho hakiwezi kutokea never
 
Asante sana mkuu kwa ushauri wako
 
Poleni sana!

Matatizo yote Kwa Wanandoa/Wapenzi hutatuliwa Kwa mazungumzo, kama anakupenda atakubali mkae Chini ili kuweza kutatua pamoja.

Mkumbushe aanze kukuamini na akupende, mwambie huyo aliyemfumania zamani ni mpenzi wake X, sio wewe Mama Ndege

Kingine na wewe Mjukuu, jitahidi umteke mkiwa kitandani. Wanaume tuna madhaifu yetu mengi, ambayo ukiwa mjanja na unayependa kujifunza vitu vipya mnaweza kututeka kiasi kwamba hawezi kuona mwingine zaidi yako. Sisi tuliozaliwa Mwaka 47, tulitekwa sana na Bibi zenu hadi leo hii tunazeeka tukiwa nao 🤗

Ukiona hataki mkae na kuyajenga, naweza kuhitimisha kwamba mahusiano yenu hayatakuwa na future. Mmelenga kuondoana nyege tu
 
Naombeni ushauri wenu, wakubwa zangu.
Sitoi ushauri bila kuona picha yako na picha yake kisha ndio nitakupa jibu kua nyinyi mnaendana au hamuendani ila mna-force nyege, hivi Dar hakuna wanaume wakukukata utepe mpaka uhangaike na hilo lidungulu la huko maporini linalopambana na ng'ombe?
 
Na kingine wanawake jitahudini muwe na vipato.
Hii ni mbaya zaidi, kuna mtu alijaribu yakamshinda alitumia mbinu ya ku-force kuonyesha ana kipata sasa hivi kawa mkimbizi ndani ya Nchi yake anatafutwa kwa mikopo mfululizo, anaishi km digidigi hakai sehemu moja, mwanamke akijitahidi kua na kipato weengi wanaishia kuachia Chini maana lazima wakope na ili walipe Chini lazima pahusike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…