Nashindwa kuelewa, hapa kuna upendo kweli au napotezewa muda?

Nashindwa kuelewa, hapa kuna upendo kweli au napotezewa muda?

UNAtaka tukuhalalishie maamuzi yako najua tayari una maamuzi yako ila unataka tuyagongee msumari. Tumegoma,Hatuitaki hiyo dhambi.
 
There is something fishy behind... Yaan kuna kautata flani hivi juu yake,
Either atakuwa yuko na family yaani kaoa ila anaona unafaa kuwa side chick mzuri baada ya kukupotezea mda au yuko serious na baby mama wake so anakuona kwa jicho la uside chick
 
Mtu mgumu hivyo kupendeka wa nn?

Heb muache uendelee na mengine, mimi kusoma tu nimeona how draining he is! Sembuse wewe kuwa nae kwenye mahusiano ? Hapana aiseeh!

Too hard kudate na huyu mtu, ndoa huko mbali sana.
Dating tu na mtu mlalamishi, asopendekea, asojua kuomba msamaha, asopokea msamaha , asiye tu na namna ya kufanya effort za kufanya uhusiano ukue na kuimarika bali anafanya jitihada kudhoofisha uhusiano, hapana aiseeh!
Mapenzi ni kitu kizuri sana when wote wawili mmeamua kupendana na jitihada zenu zinalingana kutengeneza huba lenu sio mazonge zonge ya kiwehu hivi!

akhuu!
 
Hapo unajua cha kufanya, sema unachojaribu ni kujihakikishia kile kilichopo kwenye akili yako.

Anywayz... achana na hio kichomi, itakukaba ufe.
 
Mtu mgumu hivyo kupendeka wa nn?

Heb muache uendelee na mengine, mimi kusoma tu nimeona how draining he is! Sembuse wewe kuwa nae kwenye mahusiano ? Hapana aiseeh!

Too hard kudate na huyu mtu, ndoa huko mbali sana.
Dating tu na mtu mlalamishi, asopendekea, asojua kuomba msamaha, asopokea msamaha , asiye tu na namna ya kufanya effort za kufanya uhusiano ukue na kuimarika bali anafanya jitihada kudhoofisha uhusiano, hapana aiseeh!
Mapenzi ni kitu kizuri sana when wote wawili mmeamua kupendana na jitihada zenu zinalingana kutengeneza huba lenu sio mazonge zonge ya kiwehu hivi!

akhuu!
Asante mkuu hili ndiyo nimeamua kwasasa
 
Hongera babu, alikuteka lakini hukumuoa
Sisi ni wale wa mke mmoja, ningekuwa wa upande ule wa pili lazima ningemlipia mahari.

Kuna wakati unakutana na mabinti mafundi Mtaani hadi unatamani umfanye Mke wa pili, ni vile tu umri umetutupa Mkono 🙌
 
Kwahiyo babu wewe bado unachepukaga hadi siku hizi?
 
Hizo nguvu za kuchepuka ndiyo Sina Mjukuu!

Mabinti wanaogopa wataniua Kwa pressure na kisukari eti wakata wananipa vya uvunguni 😜
Pole Babu unakosa mambo mazuri maana warembo kila siku wanazaliwa
 
Nilichogundua huyu mwenzangu ana dharau na kiburi sana, hajapiga simu anatuma tu msg, hataki kuongelea yanayoendelea yeye ni salamu tu, na mimi leo ndiyo mwisho wa kujibu msg zake, nimeamua hivyo.
 
Back
Top Bottom