cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo unadate na single faza,, enhee ngoja kwanza baby mama wake yuko wapi,,jibu nkupe sababu kwanini nmekuuliza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo unadate na single faza,, enhee ngoja kwanza baby mama wake yuko wapi,,jibu nkupe sababu kwanini nmekuuliza
NRNE
Habari za muda mrefu wana jukwaa, mimi msichana, niko kwenye mahusiano na mwanaume amenizidi miaka 15, yeye ana mtoto mmoja mimi sina.
Mimi nipo Dar, yeye yupo mkoani, tulipoanza mahusiano nilijua kwakuwa ni mtu mzima pengine, tutaenda sawa kwani na mimi huwa sipendi mambo ya hovyo. Lakini pia nilijua anaweza kuwa amechoka kukaa mwenyewe hivyo atanioa haraka tu (lakini hii haikuwa dhamira yangu kubwa)
Sasa kuna vitu huwa vinanikosesha amani mno, kwanza huyu mwenzangu unaweza ukaongea tu kitu cha tofauti kinaweza kuwa kidogo tu lakini atakishikilia na kukufanya ujione umekosea sana, hapo utaanza kuomba na misamaha ya kutosha. Lakini yeye ikitokea amekosea atalipindisha hilo kosa hadi lisionekane kama ni kosa.
Kama wiki kadhaa zimepita aliniambia ameenda kwao kusalimia, wakati yupo njiani tulikuwa tunawasiliana hadi anafika, sasa kama siku mbili mbele akaniambia ile siku ameenda alimpitia na mtoto wake ameenda naye, nikamuuliza mbona hukuniambia, akaniambia mambo mengi alipitiwa mh! Nikashangaa.
Wakati yupo huko huko akanipigia akaniambia yupo maeneo ya stendi, sasa sikusikia vizuri kumbe alisema kuna mzigo ameufuata nikamuuliza tena umesema umefata mzigo, akanijibu " hivi maswali yako unayoulizaga huwa unafikiriaga kweli" guys hii kauli iliniuma yaani ameniona mimi sina akili, nikamwambia haya baadae, nikakata simu nikatafakari kama siku tatu nikampigia maana na yeye alinikaushia, hakupokea simu, ila huku status whatsapp anapost, hizi si ni dharau jamani. Na yeye kakaa kama siku mbili tatu hivi akanitumia msg whatsapp " habari yako" na mimi sikuijibu ile siku nijibu "salama" after two days, akajibu kwa kureact akakausha, leo naona kanicheki normal, mimi nikampigia hajapokea.
Nashindwa kuelewa ni upendo gani huo wa kumkasirikia mpenzi wako, kwa vitu vidogo vidogo ambavyo mnaweza kueleweshana tu, wakati mwingine unaweza kukuta usiku ikatokea mmegombana hivi ukimpigia ili muongee muyamalize hapokei kabisa ila msg anajibu anasema hajisikii kuongea, hatakagi suluhisho, sasa najiuliza kama huku mwanzoni yupo hivi je ikitokea tukaingia kwenye ndoa huko si ndo atakuwa akikasirika na matumizi anasusa kutoa kabisa🤕
I'm not perfect, hata mimi nina madhaifu na mapungufu yangu, lakini huwa nina amini kwenye kurekebishana ila mwenzangu naona hilo swala hataki kabisa, niliplay part yangu vya kutosha kujishusha nimejishusha sana misamaha nimeomba mingi mno ila kwa sasa moyo umechoka kuvumilia haya mambo, maisha yanipe stress bado na mapenzi tena yanipe stress si nitajifia na presha.
Naombeni ushauri wenu, wakubwa zangu.
Yaani babu kwanza tuko mbali mbali sasa huo muda wa kuanza kutekana unatoka wapi mnaweza kukutana mara 1 kwa miezi hata mitatu.Poleni sana!
Matatizo yote Kwa Wanandoa/Wapenzi hutatuliwa Kwa mazungumzo, kama anakupenda atakubali mkae Chini ili kuweza kutatua pamoja.
Mkumbushe aanze kukuamini na akupende, mwambie huyo aliyemfumania zamani ni mpenzi wake X, sio wewe Mama Ndege
Kingine na wewe Mjukuu, jitahidi umteke mkiwa kitandani. Wanaume tuna madhaifu yetu mengi, ambayo ukiwa mjanja na unayependa kujifunza vitu vipya mnaweza kututeka kiasi kwamba hawezi kuona mwingine zaidi yako. Sisi tuliozaliwa Mwaka 47, tulitekwa sana na Bibi zenu hadi leo hii tunazeeka tukiwa nao 🤗
Ukiona hataki mkae na kuyajenga, naweza kuhitimisha kwamba mahusiano yenu hayatakuwa na future. Mmelenga kuondoana nyege tu
Sio wote wako hivyo mkuu, wengine alili za kusaka pesa wanazo, kutumia nyuchi ni uvivu wao tu.Hii ni mbaya zaidi, kuna mtu alijaribu yakamshinda alitumia mbinu ya ku-force kuonyesha ana kipata sasa hivi kawa mkimbizi ndani ya Nchi yake anatafutwa kwa mikopo mfululizo, anaishi km digidigi hakai sehemu moja, mwanamke akijitahidi kua na kipato weengi wanaishia kuachia Chini maana lazima wakope na ili walipe Chini lazima pahusike
Wapo wengi tu, mkuu ni vile moyo ulimpenda yeye wa mbaliSitoi ushauri bila kuona picha yako na picha yake kisha ndio nitakupa jibu kua nyinyi mnaendana au hamuendani ila mna-force nyege, hivi Dar hakuna wanaume wakukukata utepe mpaka uhangaike na hilo lidungulu la huko maporini linalopambana na ng'ombe?
Mwanzoni inakuaga hivyo ila mwishoni wanavuaga Chupi fuatilia Wanasiasa wa Kike na ushuhuda wanao na nyuzi zipo mpaka humu soma, ninakwambia uhalisia sio story za kutunga mtu kakimbia nyumba huku kakopa mamillion kaacha mpaka watoto wake wa kuwazaa kisa anakimbia watu wanaomdai na mume hana unafikiria nini kinachofuata km sio kugawa Chini ili aweze kulipa madeni? Point yangu uielewe vizuri hapoSio wote wako hivyo mkuu, wengine alili za kusaka pesa wanazo, kutumia nyuchi ni uvivu wao tu.
Hapana utakua una kasoro sio bure yaan ndonga zote zilizojaa Dar hizi zingine ni wewe tu kupanua na kupigishwa deki unaparangana na lidubwana korofi limejichimbia huko kila siku linajumua vitoto vya 2000 na kuvikaza bila wewe kuona kisha umekomaa moyo ulimpenda yeye ndio maana anakufanyia vimbwanga vya ajabu ajabu ili kila mtu ale sahani yake na wewe tafuta mtu Dar akukaze umepungukiwa nini huna mvuto?Wapo wengi tu, mkuu ni vile moyo ulimpenda yeye wa mbali
Sasa nyege zina uhusiano gani na stress za mapenzi?😂😂Ndo tunapigwa mkuu hata tunakoma basiiiii tatzo nyegeeeeee
Wewe hao wa mtaani ndio wapo humu wee kamata mwanaume mmoja jf ufurahi maisha ni haya hayaHapana humu simuamini mtu na sipo tayari kuanzisha mahusiano na yeyote
Yaani unataka kutamatisha ya kuwa mwanamke hawezi kujitegemea na kua na kipato chake halali bila kuuza mwili??Mwanzoni inakuaga hivyo ila mwishoni wanavuaga Chupi fuatilia Wanasiasa wa Kike na ushuhuda wanao na nyuzi zipo mpaka humu soma, ninakwambia uhalisia sio story za kutunga mtu kakimbia nyumba huku kakopa mamillion kaacha mpaka watoto wake wa kuwazaa kisa anakimbia watu wanaomdai na mume hana unafikiria nini kinachofuata km sio kugawa Chini ili aweze kulipa madeni? Point yangu uielewe vizuri hapo
Girls absolutely DO NOT follow this silly advice!Kingine na wewe Mjukuu, jitahidi umteke mkiwa kitandani. Wanaume tuna madhaifu yetu mengi, ambayo ukiwa mjanja na unayependa kujifunza vitu vipya mnaweza kututeka kiasi kwamba hawezi kuona mwingine zaidi yako. Sisi tuliozaliwa Mwaka 47, tulitekwa sana na Bibi zenu hadi leo hii tunazeeka tukiwa nao 🤗
Hata hiyo mara moja unaweza kuitumia vizuri tu kumteka huyo baby wakoYaani babu kwanza tuko mbali mbali sasa huo muda wa kuanza kutekana unatoka wapi mnaweza kukutana mara 1 kwa miezi hata mitatu.
Sitaki kukurupuka tenaWewe hao wa mtaani ndio wapo humu wee kamata mwanaume mmoja jf ufurahi maisha ni haya haya
Duh! Babu wewe ulikuwa hatari, lakini mtu kama hakupendi hata ukionyesha juhudi za kumteka hatekekiHata hiyo mara moja unaweza kuitumia vizuri tu kumteka huyo baby wako
Nakumbuka Mwaka 47 nilitokea kutekwa na mrembo mmoja hivi, akafanya niwe napanda Ndege kumfata maili kadhaa kwaajili yake.
Mwanzoni ilikuwa tunaonana mara moja Kwa Mwezi, baada ya kutekwa naye nikajikuta nasafiri mara nne Kwa Mwezi kumfuata.
Hakuna binadamu asiye na kasoro mkuu. Mimi sihitaji mtu wa kuchezeana naye, nilihitaji serious relationship ndiyo maana.Hapana utakua una kasoro sio bure yaan ndonga zote zilizojaa Dar hizi zingine ni wewe tu kupanua na kupigishwa deki unaparangana na lidubwana korofi limejichimbia huko kila siku linajumua vitoto vya 2000 na kuvikaza bila wewe kuona kisha umekomaa moyo ulimpenda yeye ndio maana anakufanyia vimbwanga vya ajabu ajabu ili kila mtu ale sahani yake na wewe tafuta mtu Dar akukaze umepungukiwa nini huna mvuto?
Hiyo ilikuwa Mwaka 47, sasa nimezeeka Babu yenu 🤗Duh! Babu wewe ulikuwa hatari, lakini mtu kama hakupendi hata ukionyesha juhudi za kumteka hatekeki
siwezi duu na mtu simpendi kwakweli,,sitopata hisia kamweeeeSasa nyege zina uhusiano gani na stress za mapenzi?
Nyege = ngono not mapenzi.
Njoo uchukue kibamia kitulize nyege basi
Hongera babu, alikuteka lakini hukumuoaHiyo ilikuwa Mwaka 47, sasa nimezeeka Babu yenu 🤗