Nashindwa kuelewa, hapa kuna upendo kweli au napotezewa muda?

huyo anakudekea,wanaume tupo wa tabia za hivyo!!!


Mwambie tu inshort naomba tuachane kila mtu ashike zake..atapagawa.
 
Wanawake n watu wa hisia sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…