Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana mkuuNi mke wa mtu man, acha. Waliooa wanapitia mengi, usiongeze tatizo kwenye ndoa.
Na ukute mke wake halisemi hilo neno "mke wa mtu" 😀Juhudi unazozifanya kumpata ilhali anekuweka wazi kuwa ni mke wa mtu the same power kuna njemba anafanya kwa mke wako.
Hapo yawezekana mke wako atakubali na kuliwa mapema kabla wewe hujamzini huyo mdada.
Asubuhi njema
Bali ni nani mkuu wangu?Wanawake sio watu mkuu.
Kama kuna demu nilimtongoza fb , mpaka namla hakusema kuwa ni mke wa mtu.Na ukute mke wake halisemi hilo neno "mke wa mtu" 😀
Ndo walivyo yan mpaka aseme kaolewa sio leo na wanaosema wameolewa wanakuwa wanatega tuKama kuna demu nilimtongoza fb , mpaka namla hakusema kuwa ni mke wa mtu.
Kuna siku Mimi ndo nikamwambia kuwa ni mume wa mtu nayeye ndo akasema kuwa yupo na mume
Ni viumbe mkuuBali ni nani mkuu wangu?
Yani kwa kifupi hataki kukuona,japo anajitahidi kukuhudumia hivyo hivyo😄Kuna ofisi moja nimekuwa nikienda tangu siku nyingi kupata huduma, katika hiyo ofisi receptionists ni wanawake. Katika hao receptionists kuna mmoja kila akiona nikizungumza na mwenzake yeyote hapo kwenye desk lao la reception anaonesha ishara za kukasirika. Ingawa kila nikifika tu ofisini kwao kupata huduma ananichangamkia ila inaonekana hapendi nikiongea zadi na wenzake hata mbele yake tena akiwa anasikia ninachozungumza na mwenzake yeyote ni mazungumzo yanayohusu huduma za ofisi yao tu na sio kitu kingine.
Hivi karibuni nilifika ofisini kwao huyu dada kupata huduma na baada ya hapo nikumuita pembeni huyu dada kumuomba tuongee na baada ya story za fupi nikamuomba namba zake za simu ila akataa kabisa kunipa namba zake akaniambia yeye ni mke wa mtu yaani ameolewa, nikaenda tena baada ya kama wiki moja kupata huduma, baada ya huduma nikamuita pembeni kama siku ile kumuomba namba akakataa kwa mara nyingine kunipa namba akinisisitiza yeye ni mke wa mtu hawezi kutoa namba.
Lakini sasa najiuliza, je kama kweli huyu dada ni mke wa mtu, KWASABABU gani aoneshe kutopenda mimi kuongea na mwenzake yeyote ofisini kwao? Nimejiuliza sana, je huyu dada huwa anapenda sana wateja wote awahudumie yeye tu, yaani ni kama ni mbinafsi? Na je anawafanyia kama mimi kwa kukasirika wateja wengine wanaofikaga hapo wakihudumiwa na mwenzake ambaye yuko nae reception?
Naombeni msaada wenu wadau kunifafanulia juu ya tabia ya huyu dada, je ni tabia gani hii mbona sielewi! cc Robert Heriel Mtibeli, Da'Vinci
Watu si viumbe mkuu?Ni viumbe mkuu
Juhudi unazozifanya kumpata ilhali anekuweka wazi kuwa ni mke wa mtu the same power kuna njemba anafanya kwa mke wako.
Hapo yawezekana mke wako atakubali na kuliwa mapema kabla wewe hujamzini huyo mdada.
Asubuhi njema
Kuna tofauti mkuu. Inategemea na mtazamo tuWatu si viumbe mkuu?