Nashindwa kuielewa tabia ya huyu dada kwangu mimi!

Ni mke wa mtu man, acha. Waliooa wanapitia mengi, usiongeze tatizo kwenye ndoa.
 
Ofisi zingine wanakuwa ranked au kupewa motisha fulani fulani kwa kuhudumia idadi kubwa ya watu.

Nilikwenda benki moja, dada akanijulisha kuhusu huduma ya kadi fulani nikaipenda na kumuahidi kuichukua, ile kadi unalipia elfu kumi. Nikaenda kwa wale watoa huduma wa nje nikanunua nikijua si kadi za benki, niliporudi ndani kuonyesha sijamuangusha nikamwambia nimeshanunua kadi alinilaumu sana.

Kumbe zile kadi yeyote akiuza ile elfu 10 ni yake.

So, huenda si kwamba dada anakutaka ila anataka akuweke kwenye himaya yake kwa manufaa ya kazi ila unateleza kama kambale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juhudi unazozifanya kumpata ilhali anekuweka wazi kuwa ni mke wa mtu the same power kuna njemba anafanya kwa mke wako.
Hapo yawezekana mke wako atakubali na kuliwa mapema kabla wewe hujamzini huyo mdada.
Asubuhi njema
Na ukute mke wake halisemi hilo neno "mke wa mtu" 😀
 
Kwa vile kaonyesha hayo makasiriko dhidi ya wenzake ukahisi anakupenda wengine wanasumbuliwa na magubu
anataka ujenge attention kwake tu na si wenzake kinyume na hapo makasiriko huja
 
Kama kuna demu nilimtongoza fb , mpaka namla hakusema kuwa ni mke wa mtu.
Kuna siku Mimi ndo nikamwambia kuwa ni mume wa mtu nayeye ndo akasema kuwa yupo na mume
Ndo walivyo yan mpaka aseme kaolewa sio leo na wanaosema wameolewa wanakuwa wanatega tu
 
Yani kwa kifupi hataki kukuona,japo anajitahidi kukuhudumia hivyo hivyo😄
 
Juhudi unazozifanya kumpata ilhali anekuweka wazi kuwa ni mke wa mtu the same power kuna njemba anafanya kwa mke wako.
Hapo yawezekana mke wako atakubali na kuliwa mapema kabla wewe hujamzini huyo mdada.
Asubuhi njema

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani kuna watu mnapenda kutibua watu,sasa umepata nini mkuu kuleta picha ya mkewe kwenye maswali yake?
 
Huyo bi dada kakutamani sema ukimwomba namba anakuambia ni mke wa mtu ili usimuone danga, wewe komaa na wahudumu wenzake ipo siku atakupa namba na atakuvulia pichu chapu uvumilivu ukimshinda.

Tembea na hili..

Ila kama ni mke wa mtu kweli, Hakikisha unayo maziwa ya kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…