Nashindwa kumuelewa mume wangu, nikimkosea anaishia kulia

Wewe ndiyo type ya wale wanaojiua kimyakimya.
Bora ukose akuambie lakini si kuwa kimya au ivyo anavyolia inaumiza.
 
Yaani wewe anakuja kukuua, ogopa Sana mtu wa namna hiyo ohoooo!🀣🀣
 
mkuu huyo jamaa atakachokuja kukufanyia hata shetani atabaki mdomo wazi, kwa kukusaidia tuu hebu fanya uchunguzi nina hakika atakua ashaanza kuandaa stock ya magunia ya mkaa kabisa.
 
Kaingia leo tu na mada nzito.
 
We endelea tu, kuna siku isiyo na jina mchizi atachoka, atakuvizia usiku atakutwanga spana ya kichwa akili ikukae sawa.
 
Yani ww ni tahira kweli una miezi 4 tayari unachat na mwanaume mwingine cku akiamua kukupa kichapo lazima atakuuwa tu
 
We kenge jione bingwa kwa jamaa kutoa machozi mbele yako yaani ungejua mwamba analia ili kupunguza machungu ya kukumalizia mbali usingekuja na huu usi!
 
Hebu muulize "si mabaharia tulimwambia asioe, ona sasa kaoa Mara mke kagawa papuchi kwa mwengine""

Ukiona unawaelewa wanawake jua UNAKARIBIA KUFA.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…