Nashindwa kupenda mtu mwingine

coming from someone ambaye niliandika uzi humu wa hivyo hivyo. Yatapita na utajiuliza ulimpendea nini huyo mtu. JIPE MUDA
 
Kama hana time nawewe unamtakia nini!!!! Kwani uliambiwa kuna mmoja tu duniani!!!! Kama ulimpenda kwa surayake basi kuna wazuli zaidi yake,,kama ulimpenda shepu yake basi kuna wenye shepu nzuli zaidi yake.
 

Best comment so far
 
Ku move on sio kitu rahisi ndugu. She's perfect in every way ndio maana inakua ngumu kupenda mwingine.
Hujatulia tu na kuangalia vyema utagundua udwanzi wake mwingi, sema huuoni kwa jaili ya upofu ulio nao tu kwa sasa na kutoswa...jipe muda..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…