Nashindwa kupenda mtu mwingine

Nashindwa kupenda mtu mwingine

coming from someone ambaye niliandika uzi humu wa hivyo hivyo. Yatapita na utajiuliza ulimpendea nini huyo mtu. JIPE MUDA
 
Kama hana time nawewe unamtakia nini!!!! Kwani uliambiwa kuna mmoja tu duniani!!!! Kama ulimpenda kwa surayake basi kuna wazuli zaidi yake,,kama ulimpenda shepu yake basi kuna wenye shepu nzuli zaidi yake.
 
Wengi mnacheka kwa kumdharau "je? hamjui kwamba karma ain't a bit*h?" Aliimba mwana mmoja kuwa mwana haramu hazaliwi ila hutengenezwa na dunia,,, huyu mtu aki ignore and overide " poor unfortunate souls" za watoto wenu, dada zenu, wadogo zenu wa kike zitalia kilio kikuu wakikutana na huyu mwamba when his beast and savage mode is on ,, wengi mnachofanya ni kumwambia dogo " eye for an eye" when it backfire kuna watu watajuta

Best comment so far
 
Ku move on sio kitu rahisi ndugu. She's perfect in every way ndio maana inakua ngumu kupenda mwingine.
Hujatulia tu na kuangalia vyema utagundua udwanzi wake mwingi, sema huuoni kwa jaili ya upofu ulio nao tu kwa sasa na kutoswa...jipe muda..
 
Back
Top Bottom