financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Na ukija tunakubembeleza na kukuandalia chai, ila siku ya kudaiwa tunakuandalia mabaunsa na difenda la polisi😂😂 utajutaHalafu nilichogundua ukienda kuomba mkopo bank unapata ushauri front desk kwa wadada wazuri kama financial services ila siku ya kudai anakuja mtu kama mzabzab
Tafutw Hela umpate mwanamke yeyotr umpendae Mwanaume kuishi na maumivu ya mapenzi Miaka 4 ni utahiraaaaaa...!!! Move on aisee huo sio Uwanaume kijana usimfanye mwanamke kama Mama mzazi amekukataa...WOTE MNAONIDHIHAKI NA KUNIONA MJINGA AHSANTENI SANA
ILA JUENI KUA SIO RAHISI KAMA MNAVYOTAKA IWE, ACHAN TU NITESEKE KWAKE MAANA NU MAUMIVU MATAMU
[emoji3][emoji3]sasa kama ni maumivu matam imekuja kufanya nini hapa, subiri siku ukutane nae kazalishwa ndo ujinga utakutoka.WOTE MNAONIDHIHAKI NA KUNIONA MJINGA AHSANTENI SANA
ILA JUENI KUA SIO RAHISI KAMA MNAVYOTAKA IWE, ACHAN TU NITESEKE KWAKE MAANA NU MAUMIVU MATAMU
Nataka tu ushauri jinsi ya kumpata tena[emoji3][emoji3]sasa kama ni maumivu matam imekuja kufanya nini hapa, subiri siku ukutane nae kazalishwa ndo ujinga utakutoka.
Ahsante sana RM hakika haujakosea.....Mkuu kama unataka msaada kweli kweli kabisa mtafute Evelyn Salt au hata Miss Natafuta
Hopefully wanaweza kukushauri jambo maana wao wana busara sana kuliko wengi humu
tuache wewe 😁[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hao ndio Wana busara !??
Aisee labda ka neno Busara now days Lina definition nyingine tofauti na ile tuliyoizoea
Umekuja [emoji16][emoji16][emoji16]tuache wewe [emoji16]
yeah mtu mwenye busara jukwaa zimaUmekuja [emoji16][emoji16][emoji16]
mnatesekea upande gani wa nchi, leo jmosi njooni niwatoe upweke niwape ramani mpya.I have the same problem as you mkuu
ila fresh tu....duniani hayupo yeye tu
[emoji16][emoji16][emoji16] Au sio !!! Nakufa sasa hiviyeah mtu mwenye busara jukwaa zima
Msaidieni huyu dogo jamani.Ahsante sana RM hakika haujakosea.....
Kwako mtoa mada wanawake mbona tupo wengi jamani, ana maajabu gani huyo dada ex? kisa kakutoa bikra? huo ni ugeni wa k tu onja na zingine utamsahau
Acha ufala; wanawake wote hawa unalizwa na mwanamke mmoja tu ???Nilimpenda na nampenda sana huyu mwanamke, ni mwaka na miezi 4 toka kaniacha. Nilimkosea mimi akaniacha.
Nashindwa kumpenda mtu mwingine kila ninapokaa siachi kumuwaza yeye, kila kitu nachofanya kinanikumbusha uwepo wake ninyeye aliyekua mwanamke wangu wa kwanza maishani mwangu.
Nisaidieni wakuu Nifanyeje nimrejeshe, Nampenda sana tatizo kaniblock kila mahali, kila namba nikiitumia kumpigia ananiblock hataki hata kuongea nami[emoji22] Yeye ndio furaha yangu sidhani kama naweza kumpata mwingine ninayempenda kama nimpendavyo huyu mwanamke.
Bora nibaki hivi hivi kuliko kutafuta mwanamke mwingine tofaauti yake. Nataka kukaa na kumbukumbu zake maishani mwangu siku zote. Naombeni ushauri wakuu Nifanyeje kumpata tena mpenzi wangu huyu?? Kila nikimpigia ananiblock. Nifanyeje mimi??
I'm in so much pain wapendwa [emoji22]
Duh ina maana wewe hauna busaraMkuu kama unataka msaada kweli kweli kabisa mtafute Evelyn Salt au hata Miss Natafuta
Hopefully wanaweza kukushauri jambo maana wao wana busara sana kuliko wengi humu
Haina maana hiyo hata kidogo. Sema kwa vile watajwa ni jinsia ya KE wangeweza kumpa ushauri boraboraDuh ina maana wewe hauna busara