Nashindwa kupenda mtu mwingine

Kutafuta mtu kwa mwaka mzima na miezi minne na haoneshi ushirikiano maana yake hakutaki tena
Kwa sasa yupo anayependwa huko zaidi yako na ukiona amerudi kwako ujue amekosa namna

Move on
Mshauri sasa how to move on
 
Hahahah umtafute siku kila siku ni Mungu huyo ama? Wanawake mna wazimu sometimes. Piga simu upigiwe sio unakalisha tu unategemea utafutwege tu!

Nikikutafta mara 2 mfululizo hurespond kama kawaida jua tu nanga lazma ipaishwe😂
 
Dem chizi huyo mahusiano yakiwa sawa kuna balance ya mawasiliano. Hutakaa hata siku 1 uombe upigiwe ila simu zinapishana toka kwako na kwake bila shida.
 
Una uakika matumizi yote ulikuwa unatoa?au yeye ndo alikuwa mtoaji? Maana wanawake wana huruma sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Achana na mapenzi, fanya mambo mengine nawee lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hiyo limbwata uliwekewa naona lilikuwa kali sana. awali nilijua mwanamke ndio analalamika hivi, kumbe mwanaume? mwanamke amekublock mazima na wewe unashindwa kuishi? mwanamke anakuwaje furaha yako kwa mfano? sisi ndio tunatakiwa kuwa furaha ya mwanamke, kama mwanaume hutakiwi kuoa mtu ambaye wewe unampenda kuliko yeye anavyokupenda, utakufa mapema. potezea au nenda church kaombewe utakuja kunishukuru. sio wewe huyo.
 
Bora nibaki hivi hivi kuliko kutafuta mwanamke mwingine tofaauti yake. Nataka kukaa na kumbukumbu zake maishani mwangu siku zote
Mbona umeshamaliza kila kitu hapa?! Unataka tena ushauri gani sasa??
 
Oeni wanawake wanaowapenda na sio wanawake mnaowapenda... Mkiishi kwa falsafa hii mtaishi kwa furaha...
Hivi kuna anaependa asiye taka kupendwa ?

Ndiyo maana niliacha kujifunza Falsafa kwa sababu ina uongo mwingi sana. Kumpenda mwanamke kwetu sisi Wanaume hilo ni umbile letu.

Usahihi wa mambo ni kuwa tuoe katika Wanawake ambao tunawapenda.
Mwanamke kadri unavyompenda ndio unazidi kumuweka mbali na wewe kihisia... Ona sasa unavyotapatapa
Hizi habari huwa mnazipata wapi aisee. Au sisi wake zetu ni tofauti na Wanawake wenu nini ?
 
Tatizo sio mwanamke tatizo ni wewe. .

Ishi nao kwa akili , ukishindwa acha haupo kwenye kifungo..!

Sasa unapofikiria kujiua ndio solution uliyokuja nayo unahidi una akili sawa sawa ya kuishi na huyo mwanamke?

Pole sana kwa matatizo mkuu, lakini jaribu kutumia akili usilazinishe mahusiano yasiyowezekana mtajitafutia matatizo makubwa
 
Hahahah umtafute siku kila siku ni Mungu huyo ama? Wanawake mna wazimu sometimes. Piga simu upigiwe sio unakalisha tu unategemea utafutwege tu!

Nikikutafta mara 2 mfululizo hurespond kama kawaida jua tu nanga lazma ipaishwe[emoji23]
Sometime huwaga hawajitambui hawa mkuu hawajui Kuna sie wahuni ambao hatuwezi kumsujudia mwanamke kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…