Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Nafikiri ungesema pia ulimkosea nini ili tupate pa kuanzia kwani kila kosa lina namna yake ya kuomba msamahaNilimpenda na nampenda sana huyu mwanamke, ni mwaka na miezi 4 toka kaniacha. Nilimkosea mimi akaniacha.
Nashindwa kumpenda mtu mwingine kila ninapokaa siachi kumuwaza yeye, kila kitu nachofanya kinanikumbusha uwepo wake ninyeye aliyekua 😢
Kwa kuanzia unaweza kuwasiliana naye kupitia kwa rafiki yake au ndugu yake wa kike; kama umeishi naye unajua anachokipenda mnunulie zawadi nzuri kulingana na uwezo wako na ifungwe vizuri etc na ambatanishe na kard ya kuomba msamaha na kuomba unblock namba yako halafu kaa kimya. Tumia hii fursa ya Valentine