Nashindwa kupenda mtu mwingine

Nashindwa kupenda mtu mwingine

Nilimpenda na nampenda sana huyu mwanamke, ni mwaka na miezi 4 toka kaniacha. Nilimkosea mimi akaniacha.
Nashindwa kumpenda mtu mwingine kila ninapokaa siachi kumuwaza yeye, kila kitu nachofanya kinanikumbusha uwepo wake ninyeye aliyekua 😢
Nafikiri ungesema pia ulimkosea nini ili tupate pa kuanzia kwani kila kosa lina namna yake ya kuomba msamaha
Kwa kuanzia unaweza kuwasiliana naye kupitia kwa rafiki yake au ndugu yake wa kike; kama umeishi naye unajua anachokipenda mnunulie zawadi nzuri kulingana na uwezo wako na ifungwe vizuri etc na ambatanishe na kard ya kuomba msamaha na kuomba unblock namba yako halafu kaa kimya. Tumia hii fursa ya Valentine
 
Tatizo amejua unampenda sana sana, hapo ukizidi kumfatafata utazidi kuumia zaid, muhim jifanye kama humjui then tafuta kipoozeo endelea na maisha...
 
Mkuu kama unataka msaada kweli kweli kabisa mtafute Evelyn Salt au hata Miss Natafuta

Hopefully wanaweza kukushauri jambo maana wao wana busara sana kuliko wengi humu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hao ndio Wana busara !??

Aisee labda ka neno Busara now days Lina definition nyingine tofauti na ile tuliyoizoea
 
Njoo inbox mkuu umempata usipompata najiuzulu na je ulimkosea nini untajie inbox mkuu namalizq kazi kuna shida kama yako ilitokea tanga nimeimaliza bila.wasi
 
Ku move on sio kitu rahisi ndugu. She's perfect in every way ndio maana inakua ngumu kupenda mwingine.
Sawa but ukweli nikwamba hakuhitaji Tena ' jifunze kupitia makosa uliyo yafanya then move on , tumia Hilo funzo Kama fundisho katika maisha yako , Ili in the future uwe mtu mwenye kuthamini wale wanao kupenda na kukuheshimu , Makosa yapo kwaajili ya kutufunza na kutu shape katika maisha yajayo
 
Njoo inbox mkuu umempata usipompata najiuzulu na je ulimkosea nini untajie inbox mkuu namalizq kazi kuna shida kama yako ilitokea tanga nimeimaliza bila.wasi
Mapenzi ndio yalituunganisha kabla basi ningependa mapenzi yatupatanishe tena bila kutumia any other way
 
Nilimpenda na nampenda sana huyu mwanamke, ni mwaka na miezi 4 toka kaniacha. Nilimkosea mimi akaniacha.
Nashindwa kumpenda mtu mwingine kila ninapokaa siachi kumuwaza yeye, kila kitu nachofanya kinanikumbusha uwepo wake ninyeye aliyekua mwanamke wangu wa kwanza maishani mwangu.

Nisaidieni wakuu Nifanyeje nimrejeshe, Nampenda sana tatizo kaniblock kila mahali, kila namba nikiitumia kumpigia ananiblock hataki hata kuongea nami😢
Yeye ndio furaha yangu sidhani kama naweza kumpata mwingine ninayempenda kama nimpendavyo huyu mwanamke.

Bora nibaki hivi hivi kuliko kutafuta mwanamke mwingine tofaauti yake. Nataka kukaa na kumbukumbu zake maishani mwangu siku zote.

Naombeni ushauri wakuu Nifanyeje kumpata tena mpenzi wangu huyu?? Kila nikimpigia ananiblock. Nifanyeje mimi??

I'm in so much pain wapendwa 😢
Pole sana mkuu,tupo wengi tunapitia hii hali kumbe.Mimi ninaishi mkoa mwingine na mke wangu,last week alinifanyia bullying flani hivi.Aisee sitaki hata kukumbuka,maana nilijikuta nimeenda sehemu nikanywa pombe halafu nikajaribu kujiondoa kwa njia mbalimbali zaidi ya mara tatu.Mungu akaniepusha,nikarudi ninapoishi ndio nikamtafuta sasa ili nimwambie alichokuwa amenisababishia.Nikakuta ameniblock kwenye namba zake zote.Nikaingia what's app nikamuona yupo online nikamuomba tuongee akaniblock.

Nikawaza kuwa hivi anajua aliyokuwa anisababishie?Nikaanza kupata maumivu makali ya moyo,leo kazini sijaweza kufanya lolote.Ikabidi nishare na baadhi ya wafanyakazi wenzangu,ndio wakanipa moyo kuwa nijaribu kwanza kurelax.Maana moyo ulikuwa unauma sana.Kisha nitafute njia taratibu za kutatua tatizo huku nikimshirikisha Mungu.Kiukweli nashukuru Mungu japokuwa bado ameniblock,imesaidia kidogo.Japo bado Moyo una maumivu sana.Kwa hiyo naelewa sana unayopitia ndugu yangu.Mungu atusaidie sote, Ameeeeeen!
 
Najua wapo wanawake wengi, shida iko hapo kumtafuta mwingine. Kila mwanamke nayemuona naona hamfikii hata robo ya sifa alizonazo mkuu. Halafu kuna feeling/bond fulani naipata kwakwe tu
Tafuta ela weww acha kusema akuna wa kumzidi,ungekuwa na bonding usingemkosea mpka hakajua iyo ni kumkosea dhambi ya usaliti kwa kiduku unalambwa kichwa na chensooo
 
Nilimpenda na nampenda sana huyu mwanamke, ni mwaka na miezi 4 toka kaniacha. Nilimkosea mimi akaniacha.
Nashindwa kumpenda mtu mwingine kila ninapokaa siachi kumuwaza yeye, kila kitu nachofanya kinanikumbusha uwepo wake ninyeye aliyekua mwanamke wangu wa kwanza maishani mwangu.

Nisaidieni wakuu Nifanyeje nimrejeshe, Nampenda sana tatizo kaniblock kila mahali, kila namba nikiitumia kumpigia ananiblock hataki hata kuongea nami[emoji22]
Yeye ndio furaha yangu sidhani kama naweza kumpata mwingine ninayempenda kama nimpendavyo huyu mwanamke.

Bora nibaki hivi hivi kuliko kutafuta mwanamke mwingine tofaauti yake. Nataka kukaa na kumbukumbu zake maishani mwangu siku zote.

Naombeni ushauri wakuu Nifanyeje kumpata tena mpenzi wangu huyu?? Kila nikimpigia ananiblock. Nifanyeje mimi??

I'm in so much pain wapendwa [emoji22]

Umekosea sana kukaa na Mwanamke 4 years bila kumtia mimba na kumzalisha japo Mtoto mmoja,usingekuja kulia lia mkuu ungekuwa unatafutwa kama kigogo 2014 [emoji28]
 
Back
Top Bottom