Nashindwa kushika ujauzito, Je! Sindano za uzazi wa mpango zinaweza kuwa sababu?

Asante na mtoto mmoja miaka sita Mr yuko vizur alipimwa,sikuelezwa mabaya yake
 
Ndio zinaweza kua sababu zaww kutokupata mimba.

Sindano nimbaya sana ktk upangaji wa uzazi ...nibora vidonge vya majira.

Nakam umepimwa umeambiwa uko poa ktk maungo yauzazi ,,,,, ,basi inawezekana nisababu ya sindano ,,, au mwanamme ulonaye ndo mwenye shida.
 
Asante tuna mtoto mmoja miaka sita,nilitumia sindano mbili kwa miez sita,mzunguko haukuwa sawa lkn nilivoenda Hosptal nilicheki vipimo vya homon FSH na PRL iko sawa,Dk akanipa duphaston vidonge 14 kuanzia siku ya 11 ya MP nikafanikiwa kupata tens baada ya siku 28 ,baada ya hapo akanipa metformin vidonge 30 mwez mzima,ovamit vidonge kumi HIV nilianza siku ya tatu pia nilkunywa pamoja na vitamin e,baada yahapo akanipa p natal mwez mzima,ndo Niko naendelea navo ss hizo p natal na metformin,ilipofika siku ya 16 nilipima OVULATION KIT ikaonesha positive nikasex na Mr Jana nilkuwa cku ya 19 nikachek ikaonyesha mstar kwa mbal sana,au kitakuwa kilidanganya ? Leo nipo siku 20 trh ya bleed mpaka trh 25,asante nahtaj ushaur wako
 
Ute Wa uzazi siupati tangu nitumie hayo madude,nilikuwa nableed muda mrefu ndo nikapewa duphaston
 
Sababu ni hizo sindano huchukua muda mrefu kuisha kwasasa usipaniki zitaisha tu nawe utazaa hata mimi yalimtokea mwenzangu lakini baadaye tulipata watoto vumilieni yatakwisha
Asante sn alikaa miaka mingap
 
Shukran
 
Asante Nina miaka miwil tangu niache kutumia
 
Sasa hakuna Tiba yakutibu
 
Sasa hakuna Tiba yakutibu
 
Sasa hakuna Tiba yakutibu
 
Mume yuko OK pia na mtoto mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…