Sasa hakuna Tiba yakutibu
Unajua Hizi sindano zinaenda kuondoa ile balance ya Oestrogen hormone mwili ,,badala yake mwili wamama unakua na progesterone nyingi sana..
Sasa baada ya kuacha izi sindano huchukua mpaka miaka miwili Mwili wamama ,kuweza kurudi ktk hali yake yaawali . yaaan kuwepo na balance of hormone kati ya Oestrogen na Progesterone .
Kama ,,unatest positive in ur ovulation lkn hushiki mimba ,,, basi badili siku za sex ,,jitahidi baada ya kuelewa mizunguko wako vzuri (especially siku za Ovulation ) basi sex na Mr wako kila siku katika izo siku za Ovulation ( 7 days).
Sababu umeshutumia madawa ya kubalance mwili NA vitamin vinavyosapport Ovulation ..nivema pia ubadili life style yako--
Kunywa maji sanaaa
Kula matunda sana na mboga za majani .
Kunywa maziwa
Usiwe mtu wa wasiwasi nawala mume asikugombeze kwann hushiki mimba.
Wakati mwinginw mimba unatwgemea na ukaribu wa mwili ,,roho ,,na nafsi ktoka kwa mwenzi wako. Lkn km mtakua mnasex nahofu ya kupata au kutopata ,,hii itakuathiri wew roho .
Above all ,,my dear please Be patient na usichoke kumuomba Mungu...
Hizi dawa Mdada Mara nyingi anashauriwa atumie mwanamke ambaye hana mpango wakuza kabisaaaaaaa.