Aziz Ki Mayele
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 899
- 1,955
SAUT ni chuo walichokua wanaenda wenye III na IVKiukweli bila kupepesa macho wala kutafuna maneno SAUT ni the best. Nakumbuka back in time "C" ya SAUT ni 50 wakati UDOM ilikuwa 41.
Wasted Sperm.Yaani aliyesoma mass communication naye anajisifia kuwa ana akili.
Sisi ilikuwa ukienda huko tunasema umebadili jinsia
Na Wewe ni JF Great Thinker au ni JF Great Fool?SAUT ni chuo walichokua wanaenda wenye III na IV
Kuna jamaa walipata div IV wakaenda kula sijui ndo inaitwa pre university miezi kama mitatu then wakaingia kugonga degree
Hata huyu GENTAMYCINE lazima alikula four akapiga hii pre course
Ukoo wako ungebahatika kumpata GENTAMYCINE Mmoja tu Ungeringa na Mngeringa mno, ila kwa bahati mbaya imekuwa ni Kinyume chake.Juha ni wewe[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kutwa kujisifia una akili kumbe chenga tu, akili kisoda
Inaonekana umezoea na unapendelea sana Vitu laini laini kukupa Ushirikiano wa Kibaikolojia au?Yaani hata Muhaya asingeweza kujisifia kwa hiyo course, tena ndume kabisa ndio limesoma.
Hiyo ni kozi laini laini kwa wenye akili kisoda
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] ulijuaje ila haiondoi mantiki kuwa huna mchango hata kwenye jamii yako achilia mbali familia yako.Wasted Sperm.
Nadhani ukoo wako unasaga meno na kumlaumu baba yako kwa kuuza ng'ombe inayotoa maziwa ili ipelekwe ng'ombe nyingine isiyo na faida shuleUkoo wako ungebahatika kumpata GENTAMYCINE Mmoja tu Ungeringa na Mngeringa mno, ila kwa bahati mbaya imekuwa ni Kinyume chake.
Ni aibu kwa mtu mwenye jinsia ya kiume kujifakharisha na kuona fahari kusomea Uandishi wa habari.Inaonekana umezoea na unapendelea sana Vitu laini laini kukupa Ushirikiano wa Kibaikolojia au?
Nonsensical.Kama ulipata div I au basi angalau II basi ulihongwa (ulilipwa) ili ukawe maonyesho kwamba hata SAUT hua zinaenda div I.
Wewe ne reject kwa vyuo vingine .. Bila SAUT ya wabeba IV usingepata degree yako ya mchongo hiyo
Rubbish.Ni aibu kwa mtu mwenye jinsia ya kiume kujifakharisha na kuona fahari kusomea Uandishi wa habari.
Hizo ni kozi za kawaida, uhitaji kufikirisha ubongo ili mtu attain shahada ya kwanza.
Ila unaonekana kabisa kipofu kaona mwezi
Absolutely Rubbish.Nadhani ukoo wako unasaga meno na kumlaumu baba yako kwa kuuza ng'ombe inayotoa maziwa ili ipelekwe ng'ombe nyingine isiyo na faida shule
Garbage.[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] ulijuaje ila haiondoi mantiki kuwa huna mchango hata kwenye jamii yako achilia mbali familia yako.
Mantiki ya elimu ya juu sio kujisifia kipumbavu bali kujitofautisha na kuleta mawazo mbadala.
Kutatua changamoto za jamii yako, kuwa humble na kuweza kujifunza hata kwa mjinga wa mwisho kama GENTAMYCINE
Sasa huyu msomi kihiyo wa Saut kwenye semi-proffesional industry naye anatamba ni msomi na kuwaita wenzie vilaza.
Hicho sio kipimo, lakini hayo makampuni yanayopata tenda za kujenga hayo madaraja, human resource kubwa yanategemea kutoka hapo.Wamewahi kugundua chanjo gani? Au wame jenga daraja lipi hapa Tz? Au Uchumi ipi wameleta Tz toka 1960?
Au gari lipi wamewahi kuunda tu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hicho sio kigezo, kigezo ni content ya hiyo ''C" (the weight)Kiukweli bila kupepesa macho wala kutafuna maneno SAUT ni the best. Nakumbuka back in time "C" ya SAUT ni 50 wakati UDOM ilikuwa 41.
Daraja zote Tz zinajengwa na form 4. Madaraja makubwa yote michoro nk ni Wachina. UDSM wanajisifu wakati hawana hata tangible products on the market.Hicho sio kipimo, lakini hayo makampuni yanayopata tenda za kujenga hayo madaraja, human resource kubwa yanategemea kutoka hapo.
Sikiliza wewe graduate wa SAUT unaeyeficha cheti chako kila undapo interview watu wasijue umesoma huko kwa mapopoma (ni aibu kujitambulisha umesoma SAUT mbele ya watu)Daraja zote Tz zinajengwa na form 4. Madaraja makubwa yote michoro nk ni Wachina. UDSM wanajisifu wakati hawana hata tangible products on the market.
Hata bomu la nyuklia 1 tu hakuna. Eti Atomic Nuclear[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Makaratasi tupuuuuu.
Wasted Sperm.Sikiliza wewe graduate wa SAUT unaeyeficha cheti chako kila undapo interview watu wasijue umesoma huko kwa mapopoma (ni aibu kujitambulisha umesoma SAUT mbele ya watu)
Graduates wa UDSM, Mzumbe, SUA ndo hua wanakaa meza moja kunegotiate na kuwapa kazi hao wachina unaowasema.
Nyie mapopoma wa SAUT hua hamsogei popote watu wazima wenye IQ kubwa wanapojadili mambo ya nchi
Cc GENTAMYCINE