Nashukuru Chuo Kikuu changu bora Tanzania nzima cha 'SAUT Mwanza' ndicho hakina 'Upuuzi' huu

Mm nina Elimu za nchi nyingi siyo huo Ujinga wenu wa UDSM. Mhimbili na Ardhi ni Products za UDSM. Hivi hiyo hospitali ya Mhimbili ramani yake ili sanifiwa na nani kama siyo wajinga wa UDSM? Taja tangible products ya UDSM inayo weza kuwa market hapa Tz. Hivi tafiti ya kuwa na Panya (SUA) ni tafiti ya kujisifia karne ya 21 a Public Institution? Una tofauti gani na KIU?
UDSM ina jengewa hostels, ina lipiwa mishahara na serikali ina someshewa watumishi, tafiti ziko funded afu eti ina shindana na SAUT kutoa course za Certificate in Business! Real? Endelezeni ujinga akati Bombadier zote zimeharibika hakuna chuo cha kuzitengeneza.
 
Mmh, usomi wako unatia mashaka. Hivi universities hazitowi certificates, diplomas, etc? Hiyo uliona wapi? University ni taasisi inayojitosheleza kutoa levels zote za taaluma, na sio degree tu; kuanzia certificate, diploma, bachelor, masters, PhD, and so on.
 
Kuna vyuo vya kati. Ndio kazi yao kutoa Certificates na Diploma.
 
aliyekudanganya kuwa SAUT ni chuo kikuu bora ni nani? hata namba tatu bora tz hakipo. kuweni na heshima kwa UDSM, MZUMBE NA SUA kabla hamjaanza kuota ndoto za mchana.
 
Maelezo ya juu yapo vizuri
Kwani nilishuudia walimu waliokuwa wanakamata "nyoka" karatasi za kuibia mtihani yaani nondo walikuwa wanapewa laki moja 100,000
Ukweli usingeweza kuibia "chabo" Mwaka 2013 2017.

"Lakini haukuwepo Ukatoliki wala ubudha"
Tulifungamana wote kina Juma,Abbdala, James, Tito Aisha, na joyce katika kupata madini ya kitaaluma.
 
Kuna vyuo vya kati. Ndio kazi yao kutoa Certificates na Diploma.
Kuwa na vyuo vya kati hakumaanishi universities visitoe level hiyo ya elimu. Tofauti kati ya universities na vyuo vya kati ni scope, vyuo vya kati vitaishia kutoa bachelors lakini universities zinatoa hadi PhDs, post doctoral, nk. Tukitumia lugha ya hesabu, tunaweza kusema university ni universal set, na vyuo vya kati ni subset.
 
Genta.....nilijuwa Ni mtu wa maana Sana [emoji23][emoji23][emoji23] kumbe ana degree ya SAUT ( hii inaleta picha kuwa alifeli form 6)

Kuwa na heshima na vyuo hivi

UDSM
SUA
MZUMBE
ARDHI
 
Shahada za heshima zinatolewa kwa kuangalia uzito wa anayepewa na pia chama cha kisiasa. Huwezi kukuta kiongozi wa upinzani anapewa shahada ya heshima. Ina maana vyuo vikuu nchini havioni au kuthamini harakati za upinzani kwenye kupigania demokrasia nchini?

Vyuo vimekuwa kama shule za kata tu. Mzee Ulimwengu alikuwa sahihi alipotoa kauli ya kulinganisha UDSM na sekondari. Ni dalili nyingine ya kushuka kiwango cha elimu nchini.
 

Attachments

  • 5548538-9d92dbdb183f5a5b9d596202d57891ef (1).mp4
    7.7 MB
Genta.....nilijuwa Ni mtu wa maana Sana [emoji23][emoji23][emoji23] kumbe ana degree ya SAUT ( hii inaleta picha kuwa alifeli form 6)

Kuwa na heshima na vyuo hivi

UDSM
SUA
MZUMBE
ARDHI
Nani kakuambia udsm sahv kina hadhi

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…