Nashukuru Chuo Kikuu changu bora Tanzania nzima cha 'SAUT Mwanza' ndicho hakina 'Upuuzi' huu

Kuto kusoma UDSM ndo ulete hasira hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Povu lote hili kisa hujasoma UDSM? Poleeeeeeeh.
 
Bado SAUT wanapakua form na sio OAS kama ilivyoelekezwa na wizara
 
Kilq mara serikali inapoelekea kutaka kufanya jambo kubwa kitaifa kama sensa au uchaguzi mkuu utasikia kuna mkopp mkubwa sana wa matrillion unakwenda kukopwa. Naomb nilejee kipindi cha uchaguzi mkuu mwaka 2020. Jpm na serikali yake ilikopa mkopo mkubwa sana kutoka WB kwa kujimwambafai kwamba wanataka kujenga high school kila wilaya yaan kupanua elimu ya juu. Kumbe mkopo unaenda kwenye uchaguzi. Wakajimwambafai uchaguzi umefana na umefanyika kwa fedha za ndani. Kumbe ni za mkopo. Uchaguzi umeisha wa 2020 lakini hat lile tofali moja tuu sikuliona linajengwa kwa ajili ya high school. Zito kabwe na wanaharakati wengine walipiga kelele. Lakini walianza fokewa na kuzimishwa tena kuanzia bungeni. Leo tupo hatua za mwisho kuelekea sensa. Nadhani tukae tusubiri ni chuo gani kitaongeza admission capacity hasa hivi vya umma.
Nipo nafanya research yangu upande w a masuala ya elimu ya juu ya Tanzania.
Nitoshe kusema kwamba kwenye sualala elimu ya juu serikali ya Tanzania inausingizi mzito sana kama wa pono. Miaka inaenda inarudi wanafunzi wanaongezeka kudahiliwa kwenye level za sekondari na Advanced level pia na ufaulu inaongezeka ila vyuo vya umma na shule za umma kwa Advanced level admission capacity ipo pale pale haiongezeki. Usingizi huu utaisha lini kama elimu ya juu ndo kichaka cha serikali kukopea na hawafanyi malengo zaidi ya kwenda kufanya shughuli zao na anasa???????
 
Udsm,SUA,MZUMBE,ARU,All these were generated from Mother UDSM, Hivyo is the second best University in East and central Africa, second after Makerere!
 
Kwenye habari na hoja mchanganyiko ndio penye vilaza memkwa wa kutupa..huwezi kuta jukwaa kama la tech , jf garage, kuna watu wa dizaini hio
Huwa unalazimishwa Kuchangia huko? Sasa kama unajua Jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko kuna Vilaza wengi inakuwaje tena bado huwa Unasoma Mada za huko? Tukisema Wewe ndiyo Kilaza zaidi na Mwendawazimu utakataa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…