Nashukuru Chuo Kikuu changu bora Tanzania nzima cha 'SAUT Mwanza' ndicho hakina 'Upuuzi' huu

Kwa hiyo wewe uliyefundisha UDSM umezalisha majalala kama akina Kabudi?
Miaka ile watoto walikua na akili acha hizi za kukaririshwa siku hizi... imagine unamwita mwanafunzi aliyehitimu Masters chuo chochote including UD hawezi hata elezea Research Methodology ni kitu gani achilia mbali introduction.

Kiukweli elimu yetu nchini imeshuka sana no wonder mwaka huu hatuna chuo kilichoingia top 20 ya universities hata kwa Afrika tu.
 
UDSM ninayoiheshimu Mimi ni ile ya 1961 mpaka 2004 tu, ila UDSM ya kuanzia 2005 hadi sasa ( leo ) inazalisha 'Lumpen Proletariats' tupu.
 
Kaharibu kabisa bwana madigrii Lusungo ..!! Yaani hawana tofauti na yule waziri wa Mbeya ambaye anaamini hakuna mtu wa LY 7B anayeza kumshauri yeye mwenye madigriii manne
Ukweli utabaki kuwa ukweli... tena hizo takataka nyingine sijui SAUT ndo kabisaa wanagawa GPA kama karanga.
 
UDSM ninayoiheshimu Mimi ni ile ya 1961 mpaka 2004 tu, ila UDSM ya kuanzia 2005 hadi sasa ( leo ) inazalisha 'Lumpen Proletariats' tupu.
UDSM ina nafuu ukilinganisha na takataka kama SAUT na uchafu mwingine.
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli... tena hizo takataka nyingine sijui SAUT ndo kabisaa wanagawa GPA kama karanga.
Naona umeamua rasmi kutuanikia Ujuha wako Mkuu. Hongera sana na inapendeza pia.
 
UDSM ina nafuu ukilinganisha na takataka kama SAUT na uchafu mwingine.
Kitanda chako Milembe Mental Hospital ( Hospitali ya Vichaa ) Mkoani Dodoma umemuachia nani akilalie kwa muda kabla hujarejea huko soon?
 
SAUT na vyuo wenza ni kokoro la kubeba kila uchafu unaoachwa na akina UDSM...

Miaka yetu ukikosa Makerere ndo unaenda UD
 
Umekumbuka Kunywa Kidonge chako cha Ugonjwa wa Akili ulionao Asubuhi hii ya leo?
 
Diploma in economic diplomacy
LSE london

BA. Economics
Makerere University

BA. International Relations
University of witwatersrand

MA. Economics
University of Denver

PhD economics
University of Cape town.

Karibu.
 
Diploma in economic diplomacy
LSK london

BA. Economics
Makerere University

BA. International Relations
University of witwatersrand

MA. Economic
University of Denver

PhD economics
University of Cape town.

Karibu.
Haya tuanikie pia hapa na Utajiri wako unaitokana na Elimu zako zote hizi tafadhali.

Ukimaliza wahi Kanywe Kidonge chako cha Ugonjwa wako mkubwa wa Akili ulionao sawa?
 
Sina utajiri ila najivunia elimu niliyoipata kuniondolea ujinga pia naishi maisha ninayoyapenda.

Huku nilipo now baada ya makato yote napabakiwa na 96,000 DKK hii inanitosha sana kutembea ninapotaka na kula nipendacho.
 
Nikiona tu Mtu katika Kujimwambafai Kwake Kielimu anaanza na kusema alianzia Kusoma Diploma kama alivyotuanikia hapa Lusungo huwa namdharau maradufu.
 
Back
Top Bottom