The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Lakini bado unalitembelea hilo jukwaa na kusoma mada,pamoja na kuchangia mada!Kwenye habari na hoja mchanganyiko ndio penye vilaza memkwa wa kutupa..huwezi kuta jukwaa kama la tech , jf garage, kuna watu wa dizaini hio