Nashukuru Chuo Kikuu changu bora Tanzania nzima cha 'SAUT Mwanza' ndicho hakina 'Upuuzi' huu

Nashukuru Chuo Kikuu changu bora Tanzania nzima cha 'SAUT Mwanza' ndicho hakina 'Upuuzi' huu

Sina utajiri ila najivunia elimu niliyoipata kuniondolea ujinga pia naishi maisha ninayoyapenda.

Huku nilipo now baada ya makato yote napabakiwa na 96,000 DKK hii inanitosha sana kutembea ninapotaka na kula nipendacho.
Huko uliko mbona husemi ni wapi na unafanya au unafanywa nini? au Wazungu 'Wanakubenjua' huko 'Kibaikolojia' na unaona Aibu kutuambia?
 
Umeshameza Kidonge chako cha Ugonjwa wa Akili mkubwa ulionao au bado?
Nasikia watoto wa SAUT ndo magonjwa yenu hayo. Kuna jamaa yangu aliniambia akiwa anafundisha hapo korokoroni SAUT alikua analazimishwa na mkuu wake kugawa course work marks za bure kwa vijana maana akili hawajiwezi.

I can bet ulipata division three wewe form six tena ya HKL
 
SERIKALI imevitilia shaka baadhi ya vyuo vikuu ikisema vinatumia vibaya muundo wa wastani wa alama katika ufaulu (GPA) ili vipate wanafunzi wengi.
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda alisema hayo kwenye sherehe za siku ya Chuo Kikuu cha Iringa (IUCo) zilizohusisha wadau wa sekta ya elimu.
-
“Tukicheza na ubora wa elimu tutaua nchi yetu, na hapa nchini vipo baadhi ya vyuo vya binafsi ambavyo ili viwe na wanafunzi wengi vinatoa GPA kubwa bila kujali ubora wa elimu wanayotoa na uwezo wa wahitimu wao,” alisema Profesa Mkenda.
-
Aliitaka Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) iendelee kudhibiti ubora wa elimu katika ngazi ya vyuo vikuu ili kuhakikisha hakuna shinikizo la utoaji wa shahada zisizokidhi vigezo kwenye kazi za kitaaluma. “Tanzania sio kapu la kutoa digrii feki, hivyo ni jukumu letu sote kusimamia ubora wa elimu bila woga au presha ya watu wenye fedha au wanasiasa,” alisema Profesa Mkenda.

Taarifa: habarileo_tz

Wewe ukiona hadi GENTAMYCINE nimesoma SAUT Mwanza ( 2006 - 2009 ) na nikasifia na nakipenda hivi jua ni Chuo Kikuu cha uhakika na sibahatishi.

Ukiwa Juha ( Fool) huwezi kusoma SAUT Mwanza na nashukuru 95% ya Product ya SAUT Mwanza inafanya vyema katika both Public and Private Sector.

Haya wale Vijana na Mabinti mnaotegemea Kujiunga na Vyuo Vikuu mwaka mpya huu wa Masomo 2022 / 2023 kama unataka kuwa 'Brainiac' kama GENTAMYCINE fanya haraka pakuwa Fomu yao Mtandaoni ili Ukikubaliwa kama umekidhi Vigezo ukasome hapo SAUT Mwanza na kamwe hutojutia kupata Taaluma yao kwani hakuna Elimu ya Mkatoliki inazalisha Majuha ( Fools ) duniani kote na ndiyo maana Watu wote makini wamepitia huko.
Tanzania nzima bado hakuna chuo bora. Vyote ni useless.
 
Nasikia watoto wa SAUT ndo magonjwa yenu hayo. Kuna jamaa yangu aliniambia akiwa anafundisha hapo korokoroni SAUT alikua analazimishwa na mkuu wake kugawa course work marks za bure kwa vijana maana akili hawajiwezi.

I can bet ulipata division three wewe form six tena ya HKL
Nina Division II ya Ordinary na Division I ya Advance na Exposure ya Kutukuka ya Dunia hii ambayo mpaka Kufa Kwako hutoweza Kunifikia.
 
Nikiona tu Mtu katika Kujimwambafai Kwake Kielimu anaanza na kusema alianzia Kusoma Diploma kama alivyotuanikia hapa Lusungo huwa namdharau maradufu.
Unaijua LSE lakini au unaharisha hapa? Hahahaha kwa elimu yako majinuni ya SAUT ukajua nilianza na Diploma teh teh teh muulize Rostam LSE alienda soma nini.
Hahahaha mwanafunzi wa SAUT hajui thamani ya hatq certificate ya LSE haahahahahahq
 
Unaijua LSE lakini au unaharisha hapa? Hahahaha kwa elimu yako majinuni ya SAUT ukajua nilianza na Diploma teh teh teh muulize Rostam LSE alienda soma nini.
Hahahaha mwanafunzi wa SAUT hajui thamani ya hatq certificate ya LSE haahahahahahq
Umeshakunywa Kidonge chako cha Ugonjwa wako mkubwa wa Akili ulionao?
 
Huko uliko mbona husemi ni wapi na unafanya au unafanywa nini? au Wazungu 'Wanakubenjua' huko 'Kibaikolojia' na unaona Aibu kutuambia?
Ungekua na akili angalau hata za jalalani UD ungetambua hiyo hela niliyoandika hapo ni ya wapi teh teh teh nyie mavi mavi tuuu.
 
Umeshakunywa Kidonge chako cha Ugonjwa wako mkubwa wa Akili ulionao?
Teh teh teh mtoto wa SAUT huna ulijualo we punguani sana hata LSE huijui? Kwahiyo we ukiona diploma unaona ni kilaza mwenzio wa dividion 3 ya HKL? 😂😂
 
Hakuna chuo Tanzania acha kujifariji.... Kabudi alimaliza draft aliposema UDSM ni Jalalani. Afterall sina utoto wa kuanza bishania vyuo after my long civil service in Tanzania and regional level.

Kuwa fair tuu ni kwamba watoto wa sasa hawana kabisa content kichwani kuanzia hapo jalalani hadi huko kata unakokuongelea.

Ndio maana vile vizee vya ujamaa tangu tuliviacha pale hadi leo vinaamini havijatoka kimaisha... vinasifu na kuabudu vikiamini ipo siku failures walioko CCM watawakumbuka hata kwa ujumbe wa bodi.

Narudia tena na Kabudi alishagongelea msumari, UDSM ni jalala la failures wa CCM kuokota makapi yao ya kuwatupia mifupa.
Huu ndo ukweli mchungu ambao wengi hawataki kuhusikia
 
ewe ukiona hadi GENTAMYCINE nimesoma SAUT Mwanza ( 2006 - 2009 ) na nikasifia na nakipenda hivi jua ni Chuo Kikuu cha uhakika na sibahatishi.

Ukiwa Juha ( Fool) huwezi kusoma SAUT Mwanza na nashukuru 95% ya Product ya SAUT Mwanza inafanya vyema katika both Public and Private Sector.
Mbona huonekani kama upo vzr ndugu?
Ukiona mtu 'anajitutumua' sana elewa kuwa ipo shaka ktk 'ufahamu' wake
 
Yaan mtu na akili zake timamu amefaulu vizuri kabisa let say div 1 kali au 2 anaweza kuomba SAUT??
Aisee kweli Duniani kila mmoja yuko na maono tofauti.

UDSM
SUA
MZUMBE.

Ukikosa hivyo vyo kwa kozi za kawaida basi bado hujapata elimu.

Vingine ni
MUHAS kwenye afya
ARDHI mambo ya Ardhi na michoro
Ukirudi kwenye reality ya ajira ndio utashangazwa na hao unaowaona majuha kwenda SAUT
 
Kama UDSM alumni niseme tu kwamba... kwa level ya Tanzania, UDSM ni ndoto ya kila mtanzania kwa sababu kubwa ya historia ya kile chuo. Yaani kuna hali fulani mi mpaka sasa naifeel kusoma kile chuo.

Siwez ongelea sana issue ya ubora wa graduates wa UDSM kwasababu hiyo kitu ipo subjective, na wala hamna guarantee kwamba aliyesoma pale atakuwa na maajabu yeyote kwenye maisha tofauti na vyuo vingine.

Ila ambacho nna uhakika nacho, UDSM always utawakuta vipanga wa taifa. Na hiyo ndo raha ya kusoma pale. Mfano mdogo tu mimi darasa langu nilisoma na mtu Tanzania one form 4 na form 6 just imagine ile feelings ilivokuwa..

Tuacheni ubishi.. Generally UDSM ni bora kwa Tanzania ila sio kwamba kusoma UDSM ndo ticket ya ku win life.. Life is another thing... ila kwa elimu, UDSM is the best... Ile atmosphere ya pale sio ya kitoto.. Yaani hata nikipita ile barabara ya UDSM ka moyo kanafurahi
 
Huwa unalazimishwa Kuchangia huko? Sasa kama unajua Jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko kuna Vilaza wengi inakuwaje tena bado huwa Unasoma Mada za huko? Tukisema Wewe ndiyo Kilaza zaidi na Mwendawazimu utakataa?
Nimeona kwenye trending sijui latest mke wangu kufungua naona ni upuuzi kucheki pale juú naona imepostiwa kwenye habari na hoja

Tuliza bichwa hilo
 
Nimeona kwenye trending sijui latest mke wangu kufungua naona ni upuuzi kucheki pale juú naona imepostiwa kwenye habari na hoja

Tuliza bichwa hilo
Huu utetezi hata mtoto wa darasa la pili hawezi kuutumia,una shida kichwani ila bado hujajijua tu,
Unaonekana umezowea kuitwa wife ndio maana kila mtu unamuita hivyo,au wewe sio riziki tayari?
 
My first degree nimesoma Makerere

MA. Nimesoma University of Denver

Nimefundisha UDSM from 1993-2001 nafikiri kwa muda huo wasted sperm za babako zilikua hazijakutotoa.
Hivyo vyuo ulivyovitaja unavisikia kwenye [emoji343], nitoleee upupu wako hapa, UDSM uliyofundsha wee labda ya Mbeya, ila sio Mlimani main campus.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom