Nashukuru Chuo Kikuu changu bora Tanzania nzima cha 'SAUT Mwanza' ndicho hakina 'Upuuzi' huu

Diploma in economic diplomacy
LSE london

BA. Economics
Makerere University

BA. International Relations
University of witwatersrand

MA. Economics
University of Denver

PhD economics
University of Cape town.

Karibu.
Kumbe ulianzia Diploma, ndo maana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeh.
 
Kama GPA ndiyo ubora wa Elimu ya Chuo kikuu basi nchi hii ingekuwa mbali sana kimaendeleo...Tungekuwa Level za China,Indonesia,Malaysia,Pakistan maana miaka yetu ya Uhuru inakaribiana sana..UDSM ilianza kutoa Degree kitambo sana 1960's products zake zimeshindwa kuleta mapinduz ya uchumi nchi hii,Wengi wamwishia kuwa wanasiasa na watawala..
 
Yaani mtu apate div 1 au 2 aende SAUT
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]


MACHAGUO HAPO NI
UDISM
MUHAS
SUA
ARU


sasa jiulize kama chuo chako ni bora kama unavyokisifia mbona kwenye machagua ya vijana wakimaliza since begining up to now

Hakipo chuo chako?
 
Sina utajiri ila najivunia elimu niliyoipata kuniondolea ujinga pia naishi maisha ninayoyapenda.

Huku nilipo now baada ya makato yote napabakiwa na 96,000 DKK hii inanitosha sana kutembea ninapotaka na kula nipendacho.
Dollar 13238 hivi, ni hela nyingi sana.
 
Kuna wanafunzi vilaza niliwafundisha wakafelu na kukosa nafasi vyuo vingine walienda kusoma SAUT,Kuna mwingine alipata kashifa za usagazi hapo hapo SAUT.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Kabudi siyo authority ya kufanya reference.Kuna maprof wa maana wanaojitambua

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Unaijua LSE lakini au unaharisha hapa? Hahahaha kwa elimu yako majinuni ya SAUT ukajua nilianza na Diploma teh teh teh muulize Rostam LSE alienda soma nini.
Hahahaha mwanafunzi wa SAUT hajui thamani ya hatq certificate ya LSE haahahahahahq
Kuanza Kwako tu na Diploma ni Jibu tosha kuwa hukuwa na huna Akili period.
 
Ungekua na akili angalau hata za jalalani UD ungetambua hiyo hela niliyoandika hapo ni ya wapi teh teh teh nyie mavi mavi tuuu.
Siwezi kuipata hiyo Hela kama unayoipata huko kwa Wazungu uliko kwakuwa Mwenzangu umekubali Kunyabeliwa ( Kubenjuliwa ) nao Kibaikolojia.
 
Teh teh teh mtoto wa SAUT huna ulijualo we punguani sana hata LSE huijui? Kwahiyo we ukiona diploma unaona ni kilaza mwenzio wa dividion 3 ya HKL? 😂😂
Katika CV yangu sina sehemu inayoanza na Diploma kama Juha ( Popoma ) Mmoja Uliyetukuka Wewe.
 
Jalalani University.
 
Kumbe ulianzia Diploma, ndo maana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeh.
Jinga Kweli hilo Jamaa. Yaani hata Aibu halina linaweka wazi Kwetu kabisa kuwa alianza kusoma Diploma ndiyo akabahatika Kusoma hizo Levels zingine. Ni Uthibitisho tosha kuwa alikuwa na yuko Mpumbavu ( Popoma ) Kiasili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…