Nashukuru Chuo Kikuu changu bora Tanzania nzima cha 'SAUT Mwanza' ndicho hakina 'Upuuzi' huu

Katahiriwe kwanza Akili ambazo huna.
 
Kwake ni ndogo.... hawa madogo wanaonaga tunalingana kwakua tupo anonymity
Wenye Hela huwa wanajitapa Kipumbavu hivi kama Wewe? Yaani Elimu yako ya awali iwe hiyo ya kuanzia na Diploma ndiyo hao Wazungu wakupe hizo Pesa? Hivi hujishtukii tu tunavyokuchora na Kukusanifu hapa?

Kama ni kwa Kunyabeliwa ( Kubenjuliwa ) huko na Wazungu hasa Kibaikolojia ndiyo unaipata hiyo Hela hapo nitakubaliana nawe na Pole pia kwa hiyo Shughuli yao.
 
Kuna wanafunzi vilaza niliwafundisha wakafelu na kukosa nafasi vyuo vingine walienda kusoma SAUT,Kuna mwingine alipata kashifa za usagazi hapo hapo SAUT.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Mpumbavu ( Fool ) anaweza kuwa Mwalimu na Kufundisha? Acheni tu niendelee Kuwadharau hapa JamiiForums sawa?
 
Of course unaenda SAUT kama umekosa kabisa chuo,yaani huna choice.Mnajitutumua tu lakini mnajitambua nyie wenyewe tu.
 
Katika CV yangu sina sehemu inayoanza na Diploma kama Juha ( Popoma ) Mmoja Uliyetukuka Wewe.
Hahahahaha ungeijua hiyo Diploma in economic diplomacy usingeleta huu ujinga wako hapa.
 
Wewe akili ndio huna jibu swali acha kutukana
Mtu unajiita akili kubwa huwezi kujibu hoja hivi pathetic

inaonyesha jinsi gani chuo

Hahahahahaha unajua wenye akili wakikusoma unaonekana taahira mtoto? Kwahiyo PhD holder akianza na diploma atalipwa mshahara wa nini? Hivi unaijua Ulaya and how people get paid? Teh teh teh
 
Of course unaenda SAUT kama umekosa kabisa chuo,yaani huna choice.Mnajitutumua tu lakini mnajitambua nyie wenyewe tu.
Hapo ana ka division three kake ka HKL kaenda degree ya education huko kata anajiona ana akili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Hahahahaha ungeijua hiyo Diploma in economic diplomacy usingeleta huu ujinga wako hapa.
Utasema yote ila kitendo cha Kutuambia kuwa umeanza na Diploma tayari kumetuthibitishia kuwa you're very weak Mentally hivyo acha Kujitutumua.
 
Hahahahaha ungeijua hiyo Diploma in economic diplomacy usingeleta huu ujinga wako hapa.
Utajitutumua sana kwa Kujitetea na kuitetea hiyo Diploma yako ila ukweli utabaki pale pale kuwa Wewe ni Mpumbavu Kiasili na kama ungekuwa na Akili ungeanza na Degree moja kwa moja kwa Kozi hii.

Leo nina Wewe kwenye hili la Diploma hadi usalimu Amri Mpuuzi Mmoja Wewe.
 
Hahahahahaha unajua wenye akili wakikusoma unaonekana taahira mtoto? Kwahiyo PhD holder akianza na diploma atalipwa mshahara wa nini? Hivi unaijua Ulaya and how people get paid? Teh teh teh
Najua kuwa unaandika hivi kwa Kujitutumua ila Moyoni una Aibu sana baada ya kutuambia kuwa kumbe katika Elimu yako ulianza Kwanza na Diploma. Yaani nimekudharau kuliko Maelezo na hapa Nakusanifu tu huku Nikikupanikisha pia kwa Makusudi.

Utasema yote ila wenye Akili za Kitaaluma huwa hawaanzii na Diploma na ukiona Mtu ameanza na Diploma hasa Kielimu jua alifeli au hana Msingi mzuri wa Kimasomo lakini pia kuna uwezekano hata uwezo wake wa Akili ni Mdogo ( wa Kusuasua ) kama ulionao Wewe.
 
Hapo ana ka division three kake ka HKL kaenda degree ya education huko kata anajiona ana akili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
Ndiyo nina Akili kwakuwa sijaanza na Diploma Kitaaluma kama Mpumbavu Wewe.
 
Hahahahahaha unajua wenye akili wakikusoma unaonekana taahira mtoto? Kwahiyo PhD holder akianza na diploma atalipwa mshahara wa nini? Hivi unaijua Ulaya and how people get paid? Teh teh teh
Huyu jamaa hana hoja za msingi zaidi ya kutukana
 
Gesti ndo nini we mtoto wa haramu?
Kwani huko Ulaya ulipo Wazungu wakiwa wanaenda 'Kukubenjua' hasa Kibaikolojia ili wakupe huo Mshahara wako unaojimwambafai nao hapa huwa wanakupeleka wapi? au 'hukubenjulia' katika Magari yao na Stoo?
 
Utasema yote ila kitendo cha Kutuambia kuwa umeanza na Diploma tayari kumetuthibitishia kuwa you're very weak Mentally hivyo acha Kujitutumua.
Kuna kijana alipata Daraja la Pili kidato cha nne akaenda kusoma certificate ya miaka mitatu. Kwa Sasa ana degree ya juu kabisa na anafundisha CHUO kikuu mahali alipoanzia kazi kama "tutorial Assistant"( nimekosa kiswahili chake).

Unaangusha level Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…