Nashukuru Chuo Kikuu changu bora Tanzania nzima cha 'SAUT Mwanza' ndicho hakina 'Upuuzi' huu

Naona leo unazitumia ID's zako zote kuweza Kukabiliana na Mimi Jeshi la Mtu Mmoja tu GENTAMYCINE. Pole na Poleni mno tu ila nitaendelea Kuwafundisheni jinsi ya Kufikiri kila niwapo hapa Jamiiforums sawa?
 
We boya tu huna lolote una kazi ya kujisifia tu ukishindwa hoja unatukana mara ooh eti umebadili id nakushambulia hakuna chochote

Watu wanakuona mpuuzi tu we hujui tu fanya kuchunguza
GENTAMYCINE Jeshi la Mtu Mmoja JF.
 
Damn Fool.
 
Katika CV yangu sina sehemu inayoanza na Diploma kama Juha ( Popoma ) Mmoja Uliyetukuka Wewe.
Diploma ina shida gani?

Magufuli mliyekuwa mnamsifia ana akili naye kasoma diploma kabla hajaenda degree.

Nyerere naye pia alipitia mfumo huo huo.

Mama Samia naye alianza cheti, diploma na kuendelea

Sasa hao ni mifano michache ya viongozi wenye sifa walioanzia diploma na Bado walikuwa excellent kwenye elimu mpaka Uongozi.

Tambua mifumo ya elimu ilivyo na yote imedesigniwa Kutoa best of the best.

Wewe popoma uliyekalilishwa mfumo mmoja tu, Tena wengi wapitao mfumo huo kwa spoon feeding, mmelisaidia nini Taifa?
 
Mimi binafsi kwenye kuchagua vyuo nilijaza vitatu tu badala ya vitano,nilianza kama ifuatavyo:
1.udsm
2Mzumbe
3.Ardhi
 
Acha kunipotezea muda Mimi sijaanza na Diploma Kitaaluma kama Majuha ( Morons ) nyie sawa?
 
Tanzania Chuo ni UDSM na MUHIMBILI
Wamewahi kugundua chanjo gani? Au wame jenga daraja lipi hapa Tz? Au Uchumi ipi wameleta Tz toka 1960?
Au gari lipi wamewahi kuunda tu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Udsm,SUA,MZUMBE,ARU,All these were generated from Mother UDSM, Hivyo is the second best University in East and central Africa, second after Makerere!
Wamewahi kugundua chanjo gani? Au wame jenga daraja lipi hapa Tz? Au Uchumi ipi wameleta Tz toka 1960?
Au gari lipi wamewahi kuunda tu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
kiujumla , mkuu kwani kwa hapo bongo chuo kipi ni bora
Wamewahi kugundua chanjo gani? Au wame jenga daraja lipi hapa Tz? Au Uchumi ipi wameleta Tz toka 1960?
Au gari lipi wamewahi kuunda tu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hata kesho UDSM ndio Chuo Bora Hapa Nchini.
Wamewahi kugundua chanjo gani? Au wame jenga daraja lipi hapa Tz? Au Uchumi ipi wameleta Tz toka 1960?
Au gari lipi wamewahi kuunda tu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Acha kunipotezea muda Mimi sijaanza na Diploma Kitaaluma kama Majuha ( Morons ) nyie sawa?
Mtu mwenyewe umesoma uhandishi wa habari sijui mass communication masomo ya vilaza ndio uwe na akili?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kiukweli bila kupepesa macho wala kutafuna maneno SAUT ni the best. Nakumbuka back in time "C" ya SAUT ni 50 wakati UDOM ilikuwa 41.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…