Diploma ina shida gani?
Magufuli mliyekuwa mnamsifia ana akili naye kasoma diploma kabla hajaenda degree.
Nyerere naye pia alipitia mfumo huo huo.
Mama Samia naye alianza cheti, diploma na kuendelea
Sasa hao ni mifano michache ya viongozi wenye sifa walioanzia diploma na Bado walikuwa excellent kwenye elimu mpaka Uongozi.
Tambua mifumo ya elimu ilivyo na yote imedesigniwa Kutoa best of the best.
Wewe popoma uliyekalilishwa mfumo mmoja tu, Tena wengi wapitao mfumo huo kwa spoon feeding, mmelisaidia nini Taifa?