GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
SERIKALI imevitilia shaka baadhi ya vyuo vikuu ikisema vinatumia vibaya muundo wa wastani wa alama katika ufaulu (GPA) ili vipate wanafunzi wengi.
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda alisema hayo kwenye sherehe za siku ya Chuo Kikuu cha Iringa (IUCo) zilizohusisha wadau wa sekta ya elimu.
-
“Tukicheza na ubora wa elimu tutaua nchi yetu, na hapa nchini vipo baadhi ya vyuo vya binafsi ambavyo ili viwe na wanafunzi wengi vinatoa GPA kubwa bila kujali ubora wa elimu wanayotoa na uwezo wa wahitimu wao,” alisema Profesa Mkenda.
-
Aliitaka Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) iendelee kudhibiti ubora wa elimu katika ngazi ya vyuo vikuu ili kuhakikisha hakuna shinikizo la utoaji wa shahada zisizokidhi vigezo kwenye kazi za kitaaluma. “Tanzania sio kapu la kutoa digrii feki, hivyo ni jukumu letu sote kusimamia ubora wa elimu bila woga au presha ya watu wenye fedha au wanasiasa,” alisema Profesa Mkenda.
Taarifa: habarileo_tz
Wewe ukiona hadi GENTAMYCINE nimesoma SAUT Mwanza ( 2006 - 2009 ) na nikasifia na nakipenda hivi jua ni Chuo Kikuu cha uhakika na sibahatishi.
Ukiwa Juha ( Fool) huwezi kusoma SAUT Mwanza na nashukuru 95% ya Product ya SAUT Mwanza inafanya vyema katika both Public and Private Sector.
Haya wale Vijana na Mabinti mnaotegemea Kujiunga na Vyuo Vikuu mwaka mpya huu wa Masomo 2022 / 2023 kama unataka kuwa 'Brainiac' kama GENTAMYCINE fanya haraka pakuwa Fomu yao Mtandaoni ili Ukikubaliwa kama umekidhi Vigezo ukasome hapo SAUT Mwanza na kamwe hutojutia kupata Taaluma yao kwani hakuna Elimu ya Mkatoliki inazalisha Majuha ( Fools ) duniani kote na ndiyo maana Watu wote makini wamepitia huko.