Nashukuru Mchumba wangu Amenisamehe baada ya Kumfumania

Mpaka kuleta hii habari huku tayari anatatizo la akili. Ameonyesha deniability, hii ni dalili ya kwanza. The more anacontinue na mahusiano dalili zitaongezeka. Kupenda nilishasema kunaisha, yaani hata umpende vipi kutaisha. Usioisha ni upendo wa wazazi hata wa ndugu huisha. Mpaka umri huu unaweza muuliza amependa wanawake wangapi na bado akaachana nao, sio kutamani bali kupenda. So hisia huyeyuka in a blank, afya ya akili huletwa na amani na kwa mwanaume heshima huplay big part. Hivyo vitendo alivyofanyiwa vyote ni dharau, hio uleta mental problems kwa mwanaume. Upendo huisha, wanandoa hukiri.
 
Changamoto ya afya ya akili
 
Mimi nadhani tumuache afanye anachoona yeye kwamba kinampa furaha, na kama alivyosema yeye anampenda huyo dada na hapo ndio furaha yake ilipo.

Kama ni matatizo ya akili sisi wote tunayo tunatofautiana viwango na aina tu, so tusim judge kwavile matatizo yake ya akili ni tofauti na yetu.
 
Kwa hiyo mkuu umeamua kukubali yaishe kwa maana ya kwamba hata ukimuoa jamaa awe anakuja kunyonya mate? Nadhani kuna tatizo kichwani mwako maana kea maelezo yako inaonekana huyo mwanamke hana msimamo maana hajaamua kumuacha huyo ex wake.Anyway,kubali kuendelea kuchapiwa saana.
 
Aliyechepuka ndio anaeombwa msamaha, mkuu kuwa siriazi, Siku nyingine ukimfumania atakuamru umpe zawadi.
.Ushauri.
-Hayo huwa hayalazimishi.
Amini kuwa yupo anaeendana na wewe. Na sio huyo anayekupa masharti kama ya mganga wa kienyeji.
 
Wewe ni YAHIRA siyo bure!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…